Polisi Kagera waua watu 5 kwa kuwapiga risasi!

Polisi Kagera waua watu 5 kwa kuwapiga risasi!

Ikibidi kweli inabidi watumie mbinu za kijeshi kuhakikisha wanawakamata wakiwa hai ili kuweza kuufuatilia mtandao wai wote vinginevyo wataishia kuwauwa na bado wataendelea kuwepo.
 
Kusabikia mauaji ya binadamu bila kujiridhisha vya kutosha sio kitu chema.
 
Back
Top Bottom