Sio busara kwa kweliHaya mambo yanapaswa kuzungumzwa kwenye vikao vya ndani, baada ya hapo mwanasiasa akiwa na OCD watoke nje na kutoa hayo matangazo. Kum 'grill' OCD hadharani namna hiyo siyo busara!
Upo sawa ila hawa police wa Tz bila kupata kikaango ivyo wengi vichwa ngumuHaya mambo yanapaswa kuzungumzwa kwenye vikao vya ndani, baada ya hapo mwanasiasa akiwa na OCD watoke nje na kutoa hayo matangazo. Kum 'grill' OCD hadharani namna hiyo siyo busara!
Haya mambo yanapaswa kuzungumzwa kwenye vikao vya ndani, baada ya hapo mwanasiasa akiwa na OCD watoke nje na kutoa hayo matangazo. Kum 'grill' OCD hadharani namna hiyo siyo busara!
Mkuu hapo inakua alietumiwa ni OCDM ama?Iko hivi,awamu hii baadhi ya viongozi wanawatumia viongozi wa chini yao kama daraja ili wapate sifa kwa wananchi.
Haijalishi wewe wa chini utadhalilika au vipi ili mradi mimi wa juu yako nazoa sifa hilo utajua wewe.
Haya mambo yanapaswa kuzungumzwa kwenye vikao vya ndani, baada ya hapo mwanasiasa akiwa na OCD watoke nje na kutoa hayo matangazo. Kum 'grill' OCD hadharani namna hiyo siyo busara!
Mkuu hapo inakua alietumiwa ni OCDM ama?
Huyo anayemuuliza OCD logic yake ni finyu kidogo, na OCD kashindwa tu kumjibu kwa kutoa data ya wanaokamatwa wakiwa na abiria hajavaa helmet.Kuna cha kujifunza hapa
View attachment 1093480