Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

Idriss anajua kabisa mambo yamebadilika, Anajua kabisa serikali ya awamu ya 5 haitaki mazoea, ameshakamatwa akawekwa ndani kama onyo na akakiri amejifunza ilikuwaje akarudia tena kosa lile..

Niishie kusema ameyataka na ameyapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
trump mwenyewe picha zake zinachomwa moto mtaani, sanamu yake inakojolewa hadhani, anatupiwa adi mayai viza, huyo meko /jiwe wenu yeye nani adi picha yake isujudiwe?
Hama nchi, nenda huko au andikeni upya katiba, Rais as the head of state huwezi mtukana au kumdhihaki ukabaki salama, ndiye nembo na alama ya Taifa nje ya mipaka, kumtukana mkuu wa nchi ni kulitukana Taifa.

Mtukane na mdhihaki Rais as the head of government na sio state, nenda UK kamtukane na kumdhihaki Malkia uone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
trump mwenyewe picha zake zinachomwa moto mtaani, sanamu yake inakojolewa hadhani, anatupiwa adi mayai viza, huyo meko /jiwe wenu yeye nani adi picha yake isujudiwe?
Kwani Trump Ni Nani mpaka atupiwe hayo mayai viza? Hebu weka video au picha Trump akitupiwa mayai viza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa polisi wanachomfanya idris sio poa....lakini mwendo wa idris naye ni kama anajilipua intentionally atafute asylum hivi.....
 
🤣🤣🤣Idris kucheka picha kumesababisha political instability ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…