polisi hadi huku!!

Babkey

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
4,834
3,655
Polisi wapo katika upekuzi mkubwa wa kutafuta matahira wanaosoma vichekesho kwa macho na kimoyomoyo.
Kutokana na hilo, upo chini ya ulinz!
Na kwa kuzidi kuonyesha kuwa wewe ni tahira totally eti bado unaendelea kusoma kwa macho na kimoyomoyo!
Haya mikono juu haraka...!!!
 
Back
Top Bottom