Polisi Dar yakamata silaha nzito za kivita

Kwa polisi wetu ukitoa taarifa, ww ndiyo wa kwanza kukamatwa na kuwekwa ndani. Mwisho wa siku unauunganishwa kwenye kesi ya ujambazi.
Polisi wa kiafrika siyo wazuri kbsa. Ni waonevu sana
Sometimes unawekwa ndani kwa usalama wako Br.. Nenda kasome CPA kipe.. Cha ground of arrest utaelewa somo.
 
Police ndio ilikuwa kazi ninayo ipenda toka utotoni ila mungu hajapenda niwe Gunner.
Hongereni Police DSM
 
Kazi nzuri ya jeshi la polisi ni ya kupongezwa, hsusani inapofanywa kwa weledi unaoonekana kwa macho dhahiri.
 
Kwa polisi wetu ukitoa taarifa, ww ndiyo wa kwanza kukamatwa na kuwekwa ndani. Mwisho wa siku unauunganishwa kwenye kesi ya ujambazi.
Polisi wa kiafrika siyo wazuri kbsa. Ni waonevu sana
Asante sana kwa kunielewa police badilikeni
 
Sometimes unawekwa ndani kwa usalama wako Br.. Nenda kasome CPA kipe.. Cha ground of arrest utaelewa somo.
Sawa kwa usalama ndio tatizo ni pale ambapo wanakubambikia kesi baadhi ya police sio waaminifu ndugu yangu tunashuhuda nyingi mtaani wadau wamepotezwa kwa usamaria wema wao
 
Apo ndio wanakoseaga hawa jamaa ila najua watabadilika
 
Polisi Dar imekamata silaha aina ya AK 47 na watuhumiwa wawili nyumbani kwa mzee Said Omary (62) baada ya kupata taarifa kuwa kuna wahalifu wanataka kufanya tukio la wizi wa kutumia silaha.

Polisi Dar imekamata watuhumiwa 2 wa wizi wa magari. Wamekutwa na radio call, kadi 10 za benki mbalimbali, leseni za udereva, master keys 15. Baada ya kuhojiwa walikiri makosa na kuonesha magari mawili na pikipiki moja vinavyodhaniwa kuwa ni vya wizi.

Waliokamatwa kuhusiana na tukio hilo ni Ali Makwaya wa eneo la Tandale, Fredrick Odhiambo wa Tandale pia

Watuhumiwa 8 wamekamatwa kwa uhalifu jijini Dar pia na vielelezo mbalimbali

Watu 2 walikamatwa eneo la sheli ya Big Bon Kariakoo kwa wizi wa magari na wizi benki kwa kutumia master card na master keys

Walikutwa na radio call, leseni za udereva, funguo malaya na vielelezo vingine
Watuhumiwa hao walikiri kuhusika na wizi na kuonyesha magari mawili

Pia watu 6 wamekamatwa na vielelezo mbalimbali ikiwemo radio na sabufa

Pia mtuhumiwa mmoja anayefahmika kama mister K kwatuhuma za matukio mbalimbali, moja ikiwa ni kutishia kwa kutumia bastola mlizi na kuiba vitu mbalimbali kama Tv na fedha

Wawakamate waliomshambulia Lissu wasizushe sinema za kihindi
 
Chanzo cha habari?
 
Back
Top Bottom