Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 358
Jamani kwa jinsi polisi dar wanavyokusanya mapato nahisi wanawazid TRA
Ka unaona tofauti nambie
Ka unaona tofauti nambie
Ety siku 8 million 600 duuhPolisi wanadhurumu sana
Ety wavunhe TRA8 = milioni 600? (30/8 = 4 x 60 = 2,400) kwa mwezi wanaweza kukusanya billions 2.4 hapo ni mkoa mmoja. Ni bora TRA ivunjwe ibaki polisi kabisa wanatosha na ni waadilifu sana.
Hapo sawa mkuuNapendekeza mapato ya fine za polisi usalama wa barabarani za mamilioni na mabilioni zikasaidie kujenga na kurekebisha miundo mbinu za barabarani kama alama na taa za watembeaji kwa miguu na wakatishaji barabara, taa za kuongozea gari, alama za barabarani, njia za zege kwa watembeaji kwa miguu n.k. hii nafkiri itakuwa ni njia sahihi ya kuboresha usalama wa barabarani.
Wanampa mkuu kakanashauri faini wanazotoza zisaidie kuboresha makazi yao