POLISI: Dar kinara wa matusi, Mwanza wizi

POLISI: Dar kinara wa matusi, Mwanza wizi

Kama umezaliwa nje ya ndoa basi ndio inakua ni matokeo ya matusi lkn wanandoa hawafanyi matusi bali wanafanya mapenzi..
Hivyo basi kutokana na mtazamo wako ni kwamba wakazi wengi wa Dar wamezaliwa nje ya ndoa.
Nakwambia hivi.

Bila matusi usingezaliwa wewe. Wacha ujinga.

Miaka 10,000 iliyopita kulikuwa na ndoa?

Sent from my Kimulimuli
 
Unashangaa nini wakati hata aliyeita Watanzania Wapumbavu na aliyetuita Vilaza anakaa Dar? Hata Wabunge wengi wanakaa Dar. Kwahiyo usishangae ndugu yangu. Kikubwa pambana na hali yako na uhesabu nyumba yako kama iko mita 121.5 otherwise anza kuhama.
 
Nakwambia hivi.

Bila matusi usingezaliwa wewe. Wacha ujinga.

Miaka 10,000 iliyopita kulikuwa na ndoa?

Sent from my Kimulimuli
Ndio zilikuwepo halafu hatuzungumzii miaka 10,000 iliyopita.
 
nliwai shuudia familia moja inabishana pale manzese, baba, mama na watoto wao, alipita mwanamke mwenye makalio makubwa mbele ya nyumba yao, baba yao akaanza kusema "jamani yale ni makalio au vijana wa siku hizi wanaweka magodoro tu" mtoto akasema " baba sikuiz wanachoma sindano, matako yake uyo kayachoma sindano za wachina" binti yao akasema "mmmh uyo atakua anapenda mambo ya kugawa tigo tu", mama mtu akaconclude kwa kusema "nyie acheni kumuonea wivu mtoto wa watu, matako yale kazaliwa nayo". yaani sie tuliokua pembeni ndio tulikua tunaona aibu, wao hata hawana habari.
 
Kama watafiti wametoka mikoani hawawezi kujua kwamba matusi mji huu ni sifa! Mtu anamsifia mwenzie utasikia 'dah yule ms...ge ni noma' au unaweza kusikia marafiki wanaitana 'wewe fala njoo tupige ulabu' au unasikia mtu anasifia kitu 'ma....mae wallah......'
Ni kweli kabisa mkuu, bila kuongea sentensi na kuweka tusi unaonekana kama lugha ya Kiswahili bado.
 
Utakuta mtu no heshima zake anakupa tusi utatamani ardhi ipasuke ujifiche humo. Ushauri wangu ukipokea tusi usirudishe tusi mpaka anaetukani aone aibu. Unafikiri mtu ana PhD ya matusi, sijui chuo kipo wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Mkoa wa Dar, unaongoza kwa wakazi wake kuwa na lugha Za matusi kuliko mikoa yote nchini Tanzania.

Chanzo: Clouds FM
Hio ni sababu ya kushuka kwa maadili kwa watu,pia hata maandiko ya vitabu vya Mungu hayazingatiwi tens.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeripotiwa katika gazeti la MWANANCHI, toleo la Ijumaa, Agosti 25, 2017 kwamba:
1) Mkoa wa Mwanza unaongoza kwa mtukio ya wizi wa fedha kwa njia ya mtandao ikifuatiwa na Wilaya ya Ilala na Kinondoni, mkoani Dar es Salaam.

2) Idadi za kesi za wizi kwa njia ya mtandao, zilizolipotiwa mkoani Mwanza, zimefikia 1,663, kuanzia Januari hadi Juni mwaka huu.

3) Mkoa wa Dar es Salaam ni kinara wa kesi za makosa ya lugha za matusi mtandaoni, huku kesi nyingi zikitokra Wilaya ya Temeke.

4) Idadi ya kesi za matusi mtandaoni, zilizoripotiwa ni 327, kuanzia Januari mwaka huu, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Jeshi la Polisi.

Kama hali halisi ndiyo hiyo, kuna kila sababu ya Mamlaka ya Mawasiliano (TRA) nayo kuanza zoezi la kuhakiki kila mmiliki wa simu ya mkononi na mitandao ya kijamii.
 
upupu wa dar ukimgusa 2 unacho imoooooooo
 
mtoa uzi medula oblangata imelala, ndio nini sasa hiki
 
MATUSI MENGI YANATOKA KWA WAPIGA DEBE, WAUZA BIA,MAFUNDI WA TANESCO NA MAKONDAKTA AMBAO KWAO NI SEHEMU YA KAZI
 
hapa jamiiforums matusi yamezidi nahisi members wengi ni kutoka dar hiyo habari imebeba uhalisia kabisa
 
Back
Top Bottom