Polisi barabarani wavivu

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,766
1,708
Idara ya polisi barabarani imejitapa kukusanya fedha nyingi hivi karibuni na kumbe wangejiongeza zaidi wangekusanya gedha zaidi badala yake wanaondoka kazini kwenda kulala mapema tu kama saa 12 huku madereva wakivunja sheria za barabarani kwa makusudi.

Natoa wito kwa wakuu wa wilaya wachangamkie hii issue,ni wazi itawatoa katika kuwaletea wananchi maendeleo. Imefika sasa polisi wa barabarani wafunge camera ili kupata ushahidi pasipo shaka.
 
Back
Top Bottom