GE2025 Polisi Arusha wajipanga kuuimarisha Usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

GE2025 Polisi Arusha wajipanga kuuimarisha Usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Vitisho vinaendelea! Ila nao wabongo wanaendelea kuzoom kusubiri siku ifike tuone kitachotokea
==============
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema Jeshi la Polisi mkoani humo limejipanga kwa umakini mkubwa kuhakikisha usalama na utulivu vinaimarishwa kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.

Masejo amesema moja ya maeneo yatakayopewa kipaumbele ni kudhibiti taarifa za upotoshaji au zinazoweza kuzua taharuki mitandaoni. Amesisitiza kuwa polisi hawatafumbia macho habari yoyote itakayolenga kupotosha umma au kuathiri amani katika kipindi hiki muhimu cha uchaguzi.

 
Wanawajua vijana wa chuga jinsi walivyo, asilimia kubwa akili zao zimeyumba kama dish la Azam tv, hakuna cha kujipanga wala nini naona wanajaribu kuwatisha, masela wenyewe ndo hivyo kama wanapigia mbuzi gitaa.
 
Dar is the key, nkikiamka Dar, mikoa mingine kitaamka.
 
Back
Top Bottom