Polisi Arusha wadai kutapeliwa.. walia na Waziri Biteko

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Hivi karibuni Waziri wa Madini Dotto Biteko akiwa jijini Arusha aliahidi kuwalipa sh,Mil.5 askari polisi waaminifu waliofanimisha kukamatwa kwa shehena ya Madini mbalimbali yenye uzito wa kilo 34 yenye thamani ya sh,milioni 958 yaliyokuwa yakitoroshwa kuelekea nchi jirani ya Kenya.

Kwa mujibu wa askari hao ,hadi sasa zaidi ya mwezi mmoja umepita bila kulipwa kifuta jasho hicho cha uaminifu jambo ambalo wanahisi kutapeliwa na kauli hiyo ya Waziri.

Wamesema.kauli hiyo ilikuwa na nia njema kwa kuongeza morari wa Kazi kwa askari lakini imekosa mashiko na tija kwao jambo ambalo linavunja uaminifu kwa viongozi kuahidi na kutotekeleza.

Wamewataka viongozi hao kumwiga rais Magufuli ambaye amekuwa akiahidi na kutoa kwa muda mchache ujao au kulipa Cash.

Askari hao wanamkumbusha Waziri Biteko kutekeleza ahadi yake na kuwapatia malipo aliyowaahidi askari hao waliofanikisha kukamatwa kwa Madini hayo Mpakani Namanga kwa kuwa walikuwa na uwezo wa kumalizana na wahalifu pasipo MTU yoyote kujua na serikali ikakosa mapato
IMG_20190627_123417.jpeg
 
Hivi karibuni Waziri wa Madini Dotto Biteko akiwa jijini Arusha aliahidi kuwalipa sh,Mil.5 askari polisi waaminifu waliofanimisha kukamatwa kwa shehena ya Madini mbalimbali yenye uzito wa kilo 34 yenye thamani ya sh,milioni 958 yaliyokuwa yakitoroshwa kuelekea nchi jirani ya Kenya.

Kwa mujibu wa askari hao ,hadi sasa zaidi ya mwezi mmoja umepita bila kulipwa kifuta jasho hicho cha uaminifu jambo ambalo wanahisi kutapeliwa na kauli hiyo ya Waziri.

Wamesema.kauli hiyo ilikuwa na nia njema kwa kuongeza morari wa Kazi kwa askari lakini imekosa mashiko na tija kwao jambo ambalo linavunja uaminifu kwa viongozi kuahidi na kutotekeleza.

Wamewataka viongozi hao kumwiga rais Magufuli ambaye amekuwa akiahidi na kutoa kwa muda mchache ujao au kulipa Cash.

Askari hao wanamkumbusha Waziri Biteko kutekeleza ahadi yake na kuwapatia malipo aliyowaahidi askari hao waliofanikisha kukamatwa kwa Madini hayo Mpakani Namanga kwa kuwa walikuwa na uwezo wa kumalizana na wahalifu pasipo MTU yoyote kujua na serikali ikakosa mapatoView attachment 1163321
hahhaaaa kikienda kwa mganga hakirudi.

Bora walipwe wale waganga 900.
 
kwani hawalipwi mishahara? Wafanye kaziyao kwa adabu walikula kiapo wenyewe. Mbona fweza wanafaidigi nyingine nyiiingi toka kwa maskini w
 
Back
Top Bottom