jogoo_dume JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 2,196 Reaction score 1,940 Sep 5, 2015 #41 Domy said: Safi afande kwa kujitambua! bila shaka huyo ndiye amiri jeshi mkuu wako mtarajiwa. Click to expand... Kama hujui mambo, ukikaa kimya inapendeza zaidi.
Domy said: Safi afande kwa kujitambua! bila shaka huyo ndiye amiri jeshi mkuu wako mtarajiwa. Click to expand... Kama hujui mambo, ukikaa kimya inapendeza zaidi.
erick13 Senior Member Joined Aug 20, 2009 Posts 163 Reaction score 59 Sep 5, 2015 #42 Safi sana tutakukumbuka katika ufalme wetu ni mfano mzuri hata kwa polisi wengine.
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,275 Sep 5, 2015 #43 Hamna namna nyingine!
M mshunami JF-Expert Member Joined Feb 27, 2013 Posts 4,253 Reaction score 1,945 Sep 5, 2015 #44 haa mym said: Kwa akili zenu chadema Mnafikiri huyo polisi ni ukawa. Lowasa ni waziri mkuu mstaafu hivyo heshima yake mpaka anakufa au we ujaona pale jangwani siku ya uzinduzi Magufuli alipigiwa salute ma ADC wa rais Click to expand... Subiri utaona tu!!!
haa mym said: Kwa akili zenu chadema Mnafikiri huyo polisi ni ukawa. Lowasa ni waziri mkuu mstaafu hivyo heshima yake mpaka anakufa au we ujaona pale jangwani siku ya uzinduzi Magufuli alipigiwa salute ma ADC wa rais Click to expand... Subiri utaona tu!!!
N ntibe Member Joined Jul 11, 2015 Posts 34 Reaction score 9 Sep 5, 2015 #45 Sio tu wazir mku, ni m/kiti wa ulinzi na usalama anafanya kazi nje na ndani ya nchi,.
K kamagetac JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 2,479 Reaction score 644 Sep 5, 2015 #46 Matola said: Mtoto wa kiume punguza umbea, swali umeuliza wewe kisha ukajijibu wewe halafu unataka tuchangie nini? Punguza upashkuna. Click to expand... Hajielewi huyo achana nae
Matola said: Mtoto wa kiume punguza umbea, swali umeuliza wewe kisha ukajijibu wewe halafu unataka tuchangie nini? Punguza upashkuna. Click to expand... Hajielewi huyo achana nae
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,564 Reaction score 109,103 Sep 6, 2015 #47 TODAYS said: Nahisi hata hii picha alimwambia mfotoaji ajiandae kwa tukio hilo, picha kama hizi huwa inatokea mara chache sana kuzipata. Click to expand... Hivi unafahamu kama siku hizi kuna drones zinarekodi kila kitu? Au wewe bado una akili ya kina michuzi kutembea na mkamera mkubwa?
TODAYS said: Nahisi hata hii picha alimwambia mfotoaji ajiandae kwa tukio hilo, picha kama hizi huwa inatokea mara chache sana kuzipata. Click to expand... Hivi unafahamu kama siku hizi kuna drones zinarekodi kila kitu? Au wewe bado una akili ya kina michuzi kutembea na mkamera mkubwa?
nyakagwe JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 425 Reaction score 215 Sep 6, 2015 #48 Ametoa ya moyoni anamkubali
E eva robert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 21 Reaction score 2 Sep 6, 2015 #49 Huyo police cimuoni....
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,265 Reaction score 25,539 Sep 6, 2015 #50 Unapoandika au ku_comment tafakali juu va wenye uzoefu na professional flani, usikurupe kutaka sifa za ujanani. Matola said: Hivi unafahamu kama siku hizi kuna drones zinarekodi kila kitu? Au wewe bado una akili ya kina michuzi kutembea na mkamera mkubwa? Click to expand... Uwezo wa drones hauwezi kuwa sawa na hii picha -Acha ushamba wewe!.
Unapoandika au ku_comment tafakali juu va wenye uzoefu na professional flani, usikurupe kutaka sifa za ujanani. Matola said: Hivi unafahamu kama siku hizi kuna drones zinarekodi kila kitu? Au wewe bado una akili ya kina michuzi kutembea na mkamera mkubwa? Click to expand... Uwezo wa drones hauwezi kuwa sawa na hii picha -Acha ushamba wewe!.