jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,196
- 1,940
Safi afande kwa kujitambua! bila shaka huyo ndiye amiri jeshi mkuu wako mtarajiwa.
Kama hujui mambo, ukikaa kimya inapendeza zaidi.
Safi afande kwa kujitambua! bila shaka huyo ndiye amiri jeshi mkuu wako mtarajiwa.
Subiri utaona tu!!!Kwa akili zenu chadema Mnafikiri huyo polisi ni ukawa. Lowasa ni waziri mkuu mstaafu hivyo heshima yake mpaka anakufa au we ujaona pale jangwani siku ya uzinduzi Magufuli alipigiwa salute ma ADC wa rais
Mtoto wa kiume punguza umbea, swali umeuliza wewe kisha ukajijibu wewe halafu unataka tuchangie nini? Punguza upashkuna.
Nahisi hata hii picha alimwambia mfotoaji ajiandae kwa tukio hilo, picha kama hizi huwa inatokea mara chache sana kuzipata.
Uwezo wa drones hauwezi kuwa sawa na hii picha -Acha ushamba wewe!.Hivi unafahamu kama siku hizi kuna drones zinarekodi kila kitu?
Au wewe bado una akili ya kina michuzi kutembea na mkamera mkubwa?