Na wamfukuze kazi watuongezee kura
Kasoma nyakati anajua fika huyo ndiyo rais ila naomba mh. rais huyo ofisa kwenye serikali ya 5 ajeapewe u IGP maana ameonyesha msimamo maana miafisa mingine inatumika sana
Ndugu wana jf hebu nipeni elimu ya kutosha kuhusiana na ofisa wa police jana Kigoma baada ya kuteremka kwenye helkopta je alikosea au yuko sahihi na kama alikosea atachukuliwa hatua gani ? Je Lowasa bado anapata stahiki zake zote ? Kama Waziri mkuu mstaafu ? Namaanisha ulinzi wa Serikari,Posho ya kila mwezi na Usafiri
naona afande ameachia vidole viwili juu huyo hana kazi kesho
Na wamfukuze kazi watuongezee kura
Kama wewe ulivyo Isaack Newton wa bandiaHuyo sio waziri mkuu msitaafu bali ni waziri mkuu aliyejiuzulu, na huyo afande nina wasiwasi nae kama sio wa bandia.
Sio Wafanyakazi wote wanaokubaliana na dhuluma ya miaka 54 ya CCM! Wengi sana wapo UKAWA ila ndo hivyo, hawawezi kujitokeza!