Na wamfukuze kazi watuongezee kura
Ndugu wana jf hebu nipeni elimu ya kutosha kuhusiana na ofisa wa police jana Kigoma baada ya kuteremka kwenye helkopta je alikosea au yuko sahihi na kama alikosea atachukuliwa hatua gani ? Je Lowasa bado anapata stahiki zake zote ? Kama Waziri mkuu mstaafu ? Namaanisha ulinzi wa Serikari,Posho ya kila mwezi na Usafiri