Polisi akigonga mtu akafa, inakuwaje hapo?

Polisi akigonga mtu akafa, inakuwaje hapo?

Sheria n msumeno Kama ajali imetokea ktk zebra apo aliegongwa Ana nafas kubwa ya kushinda kesi
 
Trafiki kesi hazina adhabu kubwa, hukumu zake zinatumia sheria za barabarani siyo sheria ya mauaji.
 
Inategemea kamgonga nani, ukitaka kujua nguvu ya umma amgonge bodaboda kama atapatiwa tabu.
 
Taarifa ilishatolewa na jalada lilishafunguliwa tukapewa na PF3 kwenda hospitali ndiko alikofariki mgonjwa lakini hakuna kinachoendelea
Dah! Poleni ila mnaweza kwenda mahakama ya juu
 
Kama ni hapo NDUGU waende MAHAKAMANI.. ni KOSA KISHERIA...

ila angegongwa nje ya kivuko cha watembea kwa miguu.. ingekuwa ngumu kupata haki yao.. kwasababu anaweza jitetea kuwa MAREHEMU alivuka bila kuangalia pande zote mbili hivyo makosa ni ya MAREHEMU mwisho wa siku analipa faini 40ELFU.. anadunda mtaani
Haijalishi umemgonga wapi bado kosa lipo pale pale.
 
NAOMBA KUULIZA:Kuna polisi akiendesha gari akagonga na aliyegongwa akafariki hakuna kilichoendelea hadi leo yupo mtaani anadunda tu kwani sheria za nchi hii ni kwa raia tu wengine.
STK inahusika. Kaulize utaambiwa imefikia hatua gani
 
Tafuta wakili atakushauri vizuri kulingana na mazingira halisi ya tukio, sheria za barabarani zina changamoto nyingi hivyo ili uelewa lazima upate mtaalam wa fani hiyo.
 
Back
Top Bottom