Polisi akigonga mtu akafa, inakuwaje hapo?

Polisi akigonga mtu akafa, inakuwaje hapo?

Jurecafe

Senior Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
151
Reaction score
85
NAOMBA KUULIZA:Kuna polisi akiendesha gari akagonga na aliyegongwa akafariki hakuna kilichoendelea hadi leo yupo mtaani anadunda tu kwani sheria za nchi hii ni kwa raia tu wengine.
 
Waambie ndugu na jamaa wa marehemu wakashitaki police ‍♀️..
Hakuna aliye juu ya sheria.
 
kuna sheria za barabarani... je aliyegongwa kagongwa wapi?? katika zebra? kuna makosa mengine yanatafsiriwa kama bahati mbaya.. ndio maana kuna msemo BORA UGONGE MTU AFE KULIKO AUMIE
 
kuna sheria za barabarani... je aliyegongwa kagongwa wapi?? katika zebra? kuna makosa mengine yanatafsiriwa kama bahati mbaya.. ndio maana kuna msemo BORA UGONGE MTU AFE KULIKO AUMIE
Amegongwa kwenye kivuko cha waenda kwa miguu ina maana mtu akishakufa haki haitendeki
 
Amegongwa kwenye kivuko cha waenda kwa miguu ina maana mtu akishakufa haki haitendeki
Kama ni hapo NDUGU waende MAHAKAMANI.. ni KOSA KISHERIA...

ila angegongwa nje ya kivuko cha watembea kwa miguu.. ingekuwa ngumu kupata haki yao.. kwasababu anaweza jitetea kuwa MAREHEMU alivuka bila kuangalia pande zote mbili hivyo makosa ni ya MAREHEMU mwisho wa siku analipa faini 40ELFU.. anadunda mtaani
 
WATU HAWAJUI TU..DEREVA KUFUNGWA SIO RAHISI...ana visingizio kibao.. hasa hasa akisababisha ajali nje ya kivuko cha waenda kwa miguu
 
WATU HAWAJUI TU..DEREVA KUFUNGWA SIO RAHISI...ana visingizio kibao.. hasa hasa akisababisha ajali nje ya kivuko cha waenda kwa miguu
Kwenye kivuko cha waenda kwa miguu ndipo ajali imefanyika
 
mfano... BODABODA wangapi wamepitiwa na Magari.. wamekufa.. ila madereva hawafungwi.. wangapi walevi wanagongwa katika high roads na madereva wanadunda tu... SHIDA USITHUBUTU KUSABABISHA AJALI KATIKA KIVUKO CHA WAENDA KWA MIGUU... (UMEISHA........................) hakuna cha kujitetea..

alafu sisi waenda kwa miguu HATUJALI KABISA MAISHA YETU.. wengine TUNAVUKA KWA MASHAUZI... nje ya ZEBRA...hatujui tukipitiwa na gari hatuna uwezo mkubwa wa kulipwa.. na hata tukishinda kesi.. faini atakayopewa dereva ni ndogo ukilinganisha na athari alizosababisha mwilini kwako.. mfano mtu anapata ulemavu.. alaf dereva anafungwa miezi mitatu au fain ya laki 5..
 
Back
Top Bottom