Polisi AKIFANYA mavituzzz

Ulev ni nomaaaa...!
Ila nashukuru cyo wa Tz, atakuwa wa Mwai Kibaki coz angemtia aibu mzee Mwema
 
angekua wa bongo tungeita fbi waje watusaidie kumtambua,angeshughulikiwa! yaana if need be dna ya picha ingefanyika,hii sio serikali legelege kwenye hizi issues
 
Kwa jinsi alivyolalia hiyo machine gun unaweza kushindwa kuichukua na alivyolala ni kama yuko standby kuitumia!!!
 
Pumbavu kabisa angechomoa hiyo magazine na kuiweka mfukoni
hapo ni hatari sana!
 
BWANA asipoulinda mji waulindao wanakesha bure.
 
nijeria ndo wanavaa unifomu black..hii picha ya kuchomoa toka filamu za kinajeria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…