mkuu pamoja na bunduki kuwa na hiyo safety lock(usalama) lkn ajali za bunduki kufyatuka na kujeruhi/kuua zimeripotiwa mara nyingi
hii ni kutokana na askari wetu wengi kufanya kazi kwa mazoea ukitaka kudhibitisha hilo nenda polisi HQ watakupa takwimu.