Polisi Acheni propaganda za miaka ya 1900

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
6,544
Reaction score
11,644
Polisi Tanzania, kwenye bomu la kurusha kitu muhimu kuliko vyote ni Fuse.

CIA wakitaka kuleta mabomu kwa ajili ya kuanzisha vita hawawezi kuleti bomu iliyonganishwa lote, Wataanza kuleta components moja moja, mfano hizo fuse zitakuja kama vyuma chakavu.

Wakileta fuse, vijana watamaliza kazi wenyewe.
 
Polisiccm,unafiri wanaakili timamu,ni nguvu pasipo akili
 
Polisi Tanzania, kwenye bomu la kurusha kitu muhimu kuliko vyote ni Fuse.

CIA wakitaka kuleta mabomu kwa ajili ya kuanzisha vita hawawezi kuleti bomu iliyonganishwa lote, Wataanza kuleta components moja moja, mfano hizo fuse zitakuja kama vyuma chakavu.

Wakileta fuse, vijana watamaliza kazi wenyewe.
Njia za panya kibao inakuwaje Mjeshi aweke mabomu kwenye gari?
 
Back
Top Bottom