Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Mwanadada mmoja alikuwa anatembea na blauzi yake ipo wazi, Polis mmoja ambae alikuwa katika patiroo huku akitembea ,kwa mbali aliomuona ,ila alimwambia mwenzake ,naona kama siamini macho yangu ,aisee ona yule mrembo kuleeeeee ! naona kama titi lake la kulia lipo nje linaning'inia.
Walipomkaribia ilionekana wazi kuwa titi moja lipo nje !! Alipomkaribia uso kwa uso akamuuliza mdada ,daadaeei unajua naweza kukupa na kukuandikia kosa kwa kutembea bila ya tahadhari hapa ni mjini ? Yule mdada kwa kushangaa akauliza kwani nimefanyaje afandee? Polisi akamuambia hivi huoni kama hilo titi lako lipo nje ?
Yule mdada akainamisha kichwa kutazama ,kujiona titi lipo nje ,akamakah na kusema mtumee nimemsahau mwanangu kwenye daladala :becky: