Nimemsikiliza Afisa mmoja wa police jana ana mwili mkubwa na kichwa kikubwa ila akili nadhani ndogo sana.
Hivi hawaoni police wenzao wanavyozuia maandamnano.Police wanasukumana na waandamaji wakiwa na full protection. Sasa hawa wetu hawafanyi mazoezi wana vitambi mpaka uniform zao haziwatoshi kazi yao ni kupiga risasi tu. Du akili ndogo kwa kweli. anyway intelijensia yao ndio ilivyo.