Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,646
- 107,079
Wakuonyeshe ili iwejeMbona hakuna picha za eneo la tukio!? Wanajaribu kujisafisha Kwa style hii!!? No, watuoneshe picha wakifukua hizo silaha na miili ya hao majambazi...vinginevyo hii ni staged event Kwa ajili ya kujikosha tu!
Sarakasi zipi ulitakaje weweSarakasi za kova Hizo hakuna Kitu.
Sisi ni wastaarab si kama Police wa Kenya! Tunajibu Unyama kwa unyama wa kiistaarab hautakaa kuona miili yao ikitembezwa uchi wakati inavuja damu na matundu ya risasi kama KDF, Recce na KP wanavyofanya Garissa na ndani ya Kenya yoote! Si unaona tunawaita majambazi wakati wanaonekana kabisa ni magaidi ni katika kule kutotaka kushawishi jamii kuanza kuwa na sympathy nao kiitikadi na imani! Ila chamoto wanakipata! Wa Uamsho wamegoma kula mara kibao ila wanalishwa kilazima huku kesi ikiendeleaMbona hakuna picha za eneo la tukio!? Wanajaribu kujisafisha Kwa style hii!!? No, watuoneshe picha wakifukua hizo silaha na miili ya hao majambazi...vinginevyo hii ni staged event Kwa ajili ya kujikosha tu!
Sarakasi zipi ulitakaje wewe
and yet you claim to be a Swahili, wacha hiyo mambo Murumbi! we baki na ile lugha ya Mt Kenya :bowl:Oh, kumbe Stakishari is the name of the place that was raided.
Methot it was a Russian gun brand, a whole cache of it, owned by the bad guys impounded by the cops.
Good job by the cops lakini.
Sisi ni wastaarab si kama Police wa Kenya! Tunajibu Unyama kwa unyama wa kiistaarab hautakaa kuona miili yao ikitembezwa uchi wakati inavuja damu na matundu ya risasi kama KDF, Recce na KP wanavyofanya Garissa na ndani ya Kenya yoote! Si unaona tunawaita majambazi wakati wanaonekana kabisa ni magaidi ni katika kule kutotaka kushawishi jamii kuanza kuwa na sympathy nao! Ila chamoto wanakipata! Wa Uamsho wamegoma kula mara kibao ila wanalishwa kilazima huku kesi ikiendelea
ngoja waje wenyewe ushawagusa pabaya
hawanisumbui najua wana-wish kuwa na police active na efficient kama wetuSisi ni wastaarab si kama Police wa Kenya! Tunajibu Unyama kwa unyama wa kiistaarab hautakaa kuona miili yao ikitembezwa uchi wakati inavuja damu na matundu ya risasi kama KDF, Recce na KP wanavyofanya Garissa na ndani ya Kenya yoote! Si unaona tunawaita majambazi wakati wanaonekana kabisa ni magaidi ni katika kule kutotaka kushawishi jamii kuanza kuwa na sympathy nao! Ila chamoto wanakipata! Wa Uamsho wamegoma kula mara kibao ila wanalishwa kilazima huku kesi ikiendelea
ngoja waje wenyewe ushawagusa pabaya
Watz kilammoja mjuaji sanaZa Joshua Mulundi na Ulimboka Panya Road na Mipicha ya Zamani.