Nina swali hili kitambo sana.
Sikua na uelewa kabla na nilidhani ni kawaida lakini nimekuja kufaham kuwa “SIO KWASABABU KITU KINAFANYA KAZI, BASI HAKIHITAJI MAREKEBISHO/MABADILIKO”
Kituo cha polisi kinatumikaje Kama STORAGE/YARD ya kutunza Vifaa au mali zinazokamatwa?
Kwa mtazamo wangu hii ni kero kubwa.
1/ vituo havina nafasi
2/msongamano unafanya kusiwe na mpangilio.
3/usumbufu.
4/kupoteza nafasi ya ajira.
kama mtu anaweza kua na eneo na kupata government contract, this is a big and huge business.
kama gari/vifaa/mali zote zinazo kwamatwa zikiwa zinapelekwa/pounded kwenye eneo hili basi hii ni ajira tosha.
unalipwa kwa kuhifadhimlipaji ni mmiliki/muhusika wa mali.
KAMA SIJAELEWA SYSTEM ILIVYO NA NIMEKOSEA KUELEWA TAFADHALI NIJUZE.
View attachment 1856402