Police Officers Ambushed and Killed in Washington

Lakini hii ndiyo inanifanya hawa kutowachukulia serious hawa so-called religious leaders and followers, huyo 'prophet' akawa anadai 'we are all Jesus' at the same time anasema jamaa ana mental issues, to me that's a contradiction.
 
Keynez!
Unashangaa nini? That is the Wild West nyie si manlilia utandawazi! Mnasema kuwe na haki za binadamu mtu akiua eti adhabu ya kifo is in human at the same time wanataka M7 wa Uganda akubali na kuheshimu ushoga yaani wanaume waoane hiyo ni kulinda haki za watu are these humans or worse than animals. Sasa kwa sababu mtu kama JK anatamani sana uzungu au siju weupe kwani hata waarabu/ na wahindi kwake ni deal usije shangaa akaingia kichwa kichwa kafuta adhabu ya kunyongwa na kuruhusu ndoa za jinsia moja mabwege bwana!!!

Back to WILD WEST you go to a gun shop flush your ID and buy an AK47 wajamaa wakikuita nigger au mwalimu akileta noma you go home and take your daddies revolver laoded and back to school or Udom kila mbaya wako lamba risasi na ya mwisho take two na habari ndiyo hiyo endeleeni na mchiriku,mdundiko wa Jakaya pamoja na mdumange wa Makamba kalakabaho !!!
 
Back
Top Bottom