Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier pamoja na classmate wangu Beautiful Nkosazana tupo wazima sana.
TCRA na Jeshi la Police wanapaswa kutoa wito kwa mamlaka za serikali kuu pamoja na local government zinazomilikia social media pages kufanya verification kwenye accounts zao ili kuziba mianya kwa wahalifu wa mitandao kuweza kutoa habari za kupotosha kwa kuunda social media profiles zinazofanana na zila za senior government officials ama taasisi za juu za serikali na kusambaza habari za uongo. Angalia attached screenshots hapo chini. Kwani, how much does it cost to get an account verified??
View attachment 964055View attachment 964056View attachment 964058View attachment 964059
Will the real [government institution] please stand up? In a world where anyone can create an online account, it can be difficult to know for sure whether the social media accounts we interact with as consumers and businesses today are authentic.
verified badge is a check that appears next to your account name. It tells people that your profile is the “authentic presence of a notable public figure, celebrity, or global brand.” The blue check also helps people avoid imposter accounts and easily find the brands or public figures they want to follow.
Haya ni mawazo yangu tu na nipo tayari kukosolewa. I STAND TO BE CORRECTED.
KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. TOA MAONI NA USHAURI UTAKAOIJENGA NCHI YAKO ISONGE MBELE.
View attachment 964061
Soma pia>>>
Shilingi mia tano ya sarafu ya sasa ilipaswa kufanana na shilingi ishirini ya zamani ili kuitofautisha na shilingi mia mbili ya sasa - JamiiForums