Police na TCRA, 95% ya Social Media Accounts za taasisi nyeti za serikali hazina verification mark (Loophole for Cybercriminals)

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,316
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier pamoja na classmate wangu Beautiful Nkosazana tupo wazima sana.

TCRA na Jeshi la Police wanapaswa kutoa wito kwa mamlaka za serikali kuu pamoja na local government zinazomilikia social media pages kufanya verification kwenye accounts zao ili kuziba mianya kwa wahalifu wa mitandao kuweza kutoa habari za kupotosha kwa kuunda social media profiles zinazofanana na zila za senior government officials ama taasisi za juu za serikali na kusambaza habari za uongo.
Angalia attached screenshots hapo chini. Kwani, how much does it cost to get an account verified??

IMG_20181211_090917_445.jpg

==========
IMG_20181211_090648_912.jpg

============
IMG_20181211_090721_247.jpg

==============
IMG_20181211_090821_948.jpg

Will the real [government institution] please stand up? In a world where anyone can create an online account, it can be difficult to know for sure whether the social media accounts we interact with as consumers and businesses today are authentic.

verified badge is a check that appears next to your account name. It tells people that your profile is the “authentic presence of a notable public figure, celebrity, or global brand.” The blue check also helps people avoid imposter accounts and easily find the brands or public figures they want to follow.

Haya ni mawazo yangu tu na nipo tayari kukosolewa. I STAND TO BE CORRECTED.

KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. TOA MAONI NA USHAURI UTAKAOIJENGA NCHI YAKO ISONGE MBELE.
IMG_20181211_090917_445.jpg
IMG_20181211_090648_912.jpg
IMG_20181211_090721_247.jpg
IMG_20181211_090821_948.jpg

ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.
USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Attachments

  • IMG_20181203_121456_984.jpg
    IMG_20181203_121456_984.jpg
    16 KB · Views: 169
Mkuu Chinchilta ulichosema nisahihi,wengi wetu tumesahau kusoma Magazeti kabisa.Mitandao ya Kijamii ndio chanzo kikubwa cha habari.
 
Aisee hii kitu ni muhimu sana, kuna siku nilikua naanda barua ili tupate ruhusa ya kufanya Geotechnical katika site moja, nikasahu P.o Box ya wizara fulani hivi...
Nilivyojaribu kugoogle zilikuja picha za ngono , nikabaki nimetoa macho tuu
 
Maybe first things first - who is in charge of government social accounts. Je kila mkoa wanajifanyia, or is there a central point from which they are managed.

Second thing, where can we take our complaints? Kwa sababu tukipiga kelele vya kutosha, na katika sehemu sahihi, tutapata msaada

Third, how is the process done. Labda katika uzi huu au uzi mwingine, tunaweza kustate jinsi ya ku-weka approval mark. It's possible those who are in charge hawajui jinsi ya kufanya hivi.

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier pamoja na classmate wangu Beautiful Nkosazana tupo wazima sana.

TCRA na Jeshi la Police wanapaswa kutoa wito kwa mamlaka za serikali kuu pamoja na local government zinazomilikia social media pages kufanya verification kwenye accounts zao ili kuziba mianya kwa wahalifu wa mitandao kuweza kutoa habari za kupotosha kwa kuunda social media profiles zinazofanana na zila za senior government officials ama taasisi za juu za serikali na kusambaza habari za uongo. Angalia attached screenshots hapo chini. Kwani, how much does it cost to get an account verified??
View attachment 964055View attachment 964056View attachment 964058View attachment 964059

Will the real [government institution] please stand up? In a world where anyone can create an online account, it can be difficult to know for sure whether the social media accounts we interact with as consumers and businesses today are authentic.

verified badge is a check that appears next to your account name. It tells people that your profile is the “authentic presence of a notable public figure, celebrity, or global brand.” The blue check also helps people avoid imposter accounts and easily find the brands or public figures they want to follow.

Haya ni mawazo yangu tu na nipo tayari kukosolewa. I STAND TO BE CORRECTED.

KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. TOA MAONI NA USHAURI UTAKAOIJENGA NCHI YAKO ISONGE MBELE.
View attachment 964061
Soma pia>>> Shilingi mia tano ya sarafu ya sasa ilipaswa kufanana na shilingi ishirini ya zamani ili kuitofautisha na shilingi mia mbili ya sasa - JamiiForums
 
Zingekua zina uchadema zingepata na uangalizi na kipigo hadi ziwe verified.
 
Hoja Imeungwa Mkono
Haina Chembe Ya Ukakasi Wala Chama Chochote. Serikali Ilichukue Hili Kwa Hatua Zaidi Na Za Haraka Kweli Kweli

Uzalendo Ni Muhimu Sana Kwa Tanzania
 
Aisee hili ni la waziri wa habari yeye anahangaika kufungia nyegezi tu wakati kuna vitu sensitive kama ivi hawavifanyi, kuverify Accounts za social media ni jambo jepesi sana kwa kitu kikubwa kama serikali tatizo kila inshu tunaichukulia simple simple tu yani hata website kama ikulu ikiwa na traffic kubwa basi kuna watu watashindwa ku acces, Tusogee tu Kenya hapo uone walivyo verify acc zao kwanza inaleta credibility sana, We angaliaa shirika kubwa kama TANESCO halina facebook page badala yake lina fb account yenye capacity ya kubeba maximum member 5000, This is information age lazima tu corp na mazingira kwendana na kasi ya Dunia ilipaswa ata site kibao ziwe na customer desktop online chat for further assistance sasa Sio banks wala nini atleast kampuni zilizo tokea nje zinajitahdi kama voda, tigo and so Far ila hawa wa serikalini watu wapo tu na mishahara wanakula huku output ni kidogo sana
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom