Haki ya kupata Taarifa ni Haki ya Mtu yeyote kuuliza Taasisi ya Umma ili kupata Taarifa zinazohusu Huduma, Matumizi ya Fedha za Umma

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,282
Haki ya kupata Taarifa iliandikwa kwa mara ya kwanza kwenye Katiba ya Sweden Mwaka 1766. Baadaye ikaletwa Sheria ya Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa lengo la kuondoa zuio la Kisiasa la kupata nyaraka za Umma

Tangu wakati huo, Nchi nyingi zilifuata mfano huo, na mpaka sasa Haki hii inalindwa Kimataifa ikiwemo kupitia Azimio la Kimataifa la Haki za Binadamu, Mkataba wa Ulaya wa Haki za Binadamu na Katiba ya Haki za Msingi ya Umoja wa Ulaya.

Wananchi wanapopata Taarifa (Access To Information) kuhusu Serikali yao inavyofanya kazi, wanaweza kuitumia Haki yao ya Uhuru wa Kujieleza kwa manufaa zaidi.

Haki ya kupata Taarifa ni sehemu muhimu ya Demokrasia na inahusiana kwa karibu na Haki nyingine muhimu za Binadamu ikiwemo Uhuru wa Kujieleza.

Serikali zinapaswa kufanya Kazi kwa maslahi bora ya Wananchi. Wananchi wanapopata Taarifa kuhusu shughuli za umma, huweza kufanya tathmini ikiwa Viongozi wanatimiza ahadi zao na kufanya Maamuzi wakiwa na Taarifa sahihi.

Haki ya kupata Taarifa au Uhuru wa kupata Habari inaelezwa kuwa ni Haki ya Mtu yeyote kuuliza Taasisi ya Umma ili kupata Taarifa zinazohusu Huduma za Umma, Matumizi ya Fedha za Umma n.k.

Uhuru wa kupata Taarifa unahusisha vipengele viwili Vikuu ambavyo ni wajibu wa kutoa Taarifa, na Haki ya kupata Taarifa. Hivyo, Wananchi wana Haki ya kuomba na kupokea Taarifa, na Serikali ina wajibu wa kuchapisha/kutoa Taarifa hizo mara kwa mara

Haki hii kwa sehemu fulani inaweza isipatikane, tena kwa Nyaraka ambazo ni hatari kwaajili ya Usalama wa Taifa kukiwa na tafsiri inayoeleweka kuhusu Usalama wa Taifa

==============

Media is the most important vital element for dissemination of information. The role of media has become extremely critical for smooth functioning of democracy as it helps in forming public opinion on vital topics. This is the reason why Media is termed as the fourth estate as it is not a non state element aimed at protecting citizens. All forms of media have a specific set of followers and therefore, they together ensure better governance. The active and vigilant participation of mass media is essential in a democratic society.

It is an important assumption that the Media speaks for the people, represents the interests of the society, and serves as a check on the government. Independent, free and pluralistic media have a crucial role to play in the good governance of democratic societies, by ensuring transparency and accountability, promoting participation and the rule of law, and contributing to the fight against poverty.

Good governance may be impeded by the blight of corruption, which disrupts the free flow of information, undermines accountability fordecisions and discourages greater participation in the decision-making process. Accurate and professional reporting is often the onlyrecourse that society has to combat corruption. Journalists need the support of the larger society to eliminate hindrances to accuratereporting.

Government measures to control the media, either directly or indirectly, have many motivations but ultimately they have acommon outcome, namely, democracy as a practice or an aspiration is undermined. This paper aims to make an attempt to highlight thatthe role of media is vital in ensuring democracy and good governance and also explain the key aspects and its challenges .
 

Attachments

  • Tanzania-Understanding-Your-Right-to-Information.pdf
    4.2 MB · Views: 1
Back
Top Bottom