police kuna vijimambo.

None21

Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
34
Reaction score
16
Salaam zenu wana jamvi, mama mmoja mwenye rangi ya kimanga ahonga uroda kituo cha polisi baada ya mwanae kufanya tukio. Mwanae huyo alliba mbuzi wa Eid na wahuni wakamtia mkononi alimanusra wa mchiche mwiba. kweli dunia sio nzuri. kijana huyo sasa anajilaumu kwa kumponza *****.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…