mpingauonevu
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 621
- 434
Ikiwa ni kijizatiti ili amani kenya isitoweke tena Polisi kenya wameanzisha kitengo maalum kwa ajili ya kuhubiri injili. wakiwa stage hiyo ni sawa na wakiwa lindo. Serikali ndiyo ilianzisha kitengo hicho ikiwa ni sehemu ya polisi jamii.
hapa wakisifu
hapo injili ilikuwa imekolea
hili ni gwaride la kumpandisha mkuu wao kuanza kuhubiri. kumbuka hawa ni polisi waliookoka na serikali ya kenya imekubali kuwapa kitengo cha kuhubiri huku wakiwa na mfwanda yao ya kazi na wanalipwa kama wako kazini.muhubiri alikuwa ni sajenti.
hapo injili ilikuwa imekolea