Police kazini...

Police kazini...

Naona ulikuwa unaenda kuwakamata wanawake kwenye danguro saudari..
 
Last edited by a moderator:
saudari, hiyo kitu ndani ya paketi imeshambuliwa kwa risasi? Naona ina damu!
 
Last edited by a moderator:
saudari mi nikajua polisi kazini yaani kafanya mapenzi nje ya ndoa!
 
Last edited by a moderator:
ina maana hamuelewi maana nzima ya tangazo? muache kujilipua siku hizi hadi punyeto inaambukiza hiv jameni! ngono n'zembe hazikubaliki!
 
Duuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!! alikurupushwa nyumbani kwake akiwa amelala?
 
Tumekukosea nini dada, mbona sisi ni kama raia wengine kwenye jamii

......tena usinisemeshe kama wewe ni mmoja wao!!! :tape2::shut-mouth:

i need a painkiller.........😛ainkiller:
 
saudari nimekuona Mpwa wangu.....hahahaaaaaa dont protect yourself
 
Last edited by a moderator:
......tena usinisemeshe kama wewe ni mmoja wao!!! :tape2::shut-mouth:

i need a painkiller.........😛ainkiller:

Pole na pia niombe radhi kwa jinsi ulivyo react hadi unaomba painkiller online, mimi sio mmoja wao ila hiyo ni njia mojawapo niliyotumia ili uweze kutujuza kwa nini huwapendi hao jamaa wanajiita walinda usalama wa raia na mali zao.

Ila kwa vile tu ni binadamu walioubwa na Mwenyezi Mungu na wengine ni ndg zetu kumbe basi hatupaswi kuwachukia hivyo.
Imeandikwa kama utamchukia ndg yako unayemjua/kumfahamu je utawezaje kumpenda Mungu wako ambaye haonekani (Niwie radhi kama nimekukera dada)
 
labda niseme hivi.........wakishakuwa ndani ya magwanda yao ni watu wa aina nyingine kabisa!

sipendi kusema sana lakini wana mambo yao kwakweli............na vile nilishakabiliana nao....sin ahamu nao!

Hujanikwanza Lyagwa ila umenielekeza vema. Nitajifunza tenakutowachukia bure. Lakini labd niseme nitajifunza sana kukaa nao mbali! Pole nawe kwa kukwazika.
 
Last edited by a moderator:
kwakweli kama ni hivi ... mi' jeshi sitaki ..
 
Back
Top Bottom