JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
hupendi jina la polisi au huwependi watu wanaoitwa polisi?/
lile tangazo ingine umeliona? Protect your self.
lile tangazo ingine umeliona? Protect your self.
Mkuu saudari huyu atakuwa ni Polisi wa Amerika FBI hahahahahah kasheshe kweli hapo.........
hupendi jina la polisi au huwependi watu wanaoitwa polisi?/
lile tangazo ingine umeliona? Protect your self.
Hiyo ni suit original.
good. amevaa suti aliyozaliwa nayo
Aisee huyu "NJAGU" alievaa nguo za asili anapoteza umakini wa wenzake hasa hao wawili walio nyuma yake!
nataka yeye anirenge mimi.............:wink2:
una balaa wewe! baba yangu kabisa? ameshawahi kurenga majambazi matatu tu maishani mwake..Rombo, Moshi mjini na Dodoma nadhani...!
Sasa wewe raia mwema akurenge kwa sababu gani??!:A S 39:
Hapooooo.....kaka! afadhali wewe umeyaona matangazo yote mawili.