Police kazini...

Mhhhhhhh huyo aliye na suti ya kuzaliwa mi hata simwelewi lengo lake nini!!!!!maanake mhhhh haya ngoja ninyamaze labda hivyo ndio anakuwa more active cozz anajihisi mwepesiiiii kuliko kawaida kwa hiyo kibaka akikutana na huyu ajue atakimbizwa hadi uvunguni.
 
labda hivyo ndio anakuwa more active cozz anajihisi mwepesiiiii kuliko kawaida kwa hiyo kibaka akikutana na huyu ajue atakimbizwa hadi uvunguni.

Kibaka akikutana na huyu jamaa wala hakimbii, tena ndo atadhani ni kibaka mwenzake.
Jamaa anamkamata faster na kumfikisha kituoni.
 
wenzake hawamuoni ni jini kashikashi huyo
 
Alahhh kama ndio hivyo basi mkuu wa polisi wa huko jinasi kwelikweli,na aendelee kubuni njia bomba zaidi za kuwakamatia vibaka wetu.
Kibaka akikutana na huyu jamaa wala hakimbii, tena ndo atadhani ni kibaka mwenzake.
Jamaa anamkamata faster na kumfikisha kituoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…