Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Polepole Utamaduni wa CCM ndiyo umetuletea umasikini! Pigania mifumo sio CCM. CCM sio nchi ni brand na Chama.

Ushauri Popepole huwezi kufanikiwa kwasababu mawazo yako ni kupigania chombo ambacho sio cha kidemokrasia.

Huwezi kupingana na wana CCM ambao chama chenyewe ni chama cha kifalme halafu ukashinda maana ndani ya CCM kila mtu anajali maslahi yake binafsi. Ni wachache sana ndani ya CCM wanajali nchi na hao wote ndiyo tunasikia wanakatwa kila siku.

wazee wazalendo wamenyamazishwa wewe unakimbia kimbia na inawezekana wanatafuta njia ya kukuteka.

Sasa badala ya kupigania chama ambacho kimetuletea umasikini ni kwanini usipiganie katiba. kusema CCM ni kama chama cha Cuba au China ni kukosea sana maana nchi yetu tumeamua iwe ya kidemokrasia sasa tutakuwaje nchi ya kidemokrasia kama wewe bado unataka utamaduni wa siasa za Cuba au China ambao wana chama kimoja.

Yaani wewe ni kama vile unataka utamaduni uendelee lakini utamaduni huo mbaya ndiyo umewaleta wakina Kikwete na Samia na ndugu zao.

Ingenufaisha sana nchi kama ungepigania mfumo ili CCM isikofanya kunasemu ya kwenda. Sasa bila reform mtaenda wapi???
 
Video wp
 
Ni chama gani ambacho watu wake hawapiganii masilani yao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom