Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,587
- 7,969
Serikali ya mauaji iliyopo madarakani inahaha sana, Yaani wanalipa watu kila kona kuja kutetea maovu yao, wanahaibika sana.Anayempa kazi yeye anamtumia tu kwa kumpa ujira.Ameona mleta mada ni mjingajinga tu,anapewa hela kiduchu kutetea ufisadi.
... Polepole ni mshamba kama Polpot wa Cambidia!POlepole nikiumbe kinachotakiwa kipuuzwe na kitengwa na jamii
Jenga hoja yenye mantiki mkuu.Comrade Polepole ropoka yote kabla hujahukumiwa Kunyongwa HADI KUFA
Huyo jamaa ni shujaa na ameweka historia yk vyema sana na kuacha alama ambayo atakumbukwa miaka mingi.Comrade Polepole ropoka yote kabla hujahukumiwa Kunyongwa HADI KUFA
Shujaa wako na mkeoHuyo jamaa ni shujaa na ameweka historia yk vyema sana na kuacha alama ambayo atakumbukwa miaka mingi.
Vipi jana aliongea yapi??Polepole tutamkumbuka Kwa ushujaaa wake
Kwakweli atujui tunataka nini.huyu aliefanya figisu uchaguzi serikali za mitaa..kusema kweli upinzani ni aibuPole pole ni hazina ya taifa. Tunapaswa kumlinda Kwa wivu mkubwa sana.
Uharifu wake upowanzi kwa sas anachokifanya leo analetaa uhuni kama alivyo kuwa na lugha za kidikteta kwenye awamu ya 5, Taifa letu kwa sasa hatuko tayari na kwa uhuni anaoufanyaa ima achache imaa aendelee kuwaa chawa na watu alionao kwenye paaziaahaijapatakutokea.
View attachment 3461675
Mmebakisha muda mchache sana mtage mafiiUharifu wake upowanzi kwa sas anachokifanya leo analetaa uhuni kama alivyo kuwa na lugha za kidikteta kwenye awamu ya 5, Taifa letu kwa sasa hatuko tayari na kwa uhuni anaoufanyaa ima achache imaa aendelee kuwaa chawa na watu alionao kwenye paaziaahaijapatakutokea.
View attachment 3461675
Hayo makosa ya nyuma ashaomba msamaha na tumemsamehe maana hakuna mwanadamu mwenye akili timamu asiyekosea. Acha tutambe nae Kwa Sasa.Kwakweli atujui tunataka nini.huyu aliefanya figisu uchaguzi serikali za mitaa..kusema kweli upinzani ni aibu
Basi na hao wanaokosea ni wanadamu kama yeye alivyokua anakoseaHayo makosa ya nyuma ashaomba msamaha na tumemsamehe maana hakuna mwanadamu mwenye akili timamu asiyekosea. Acha tutambe nae Kwa Sasa.