Kafeli, unamtetea tuuu, mpuuuzi kama unabisha weka matokeo yakeUkweli ni kwamba Humphrey Pole Pole hana historia ya kufeli Shuleni. Nakushauri ujiridhishe kabla ya kuongelea masuala binafsi ya mtu yeyote kwenye Jamvi kama hili.
Labda kama tuongee kishabiki ila Hamphrey hana historia ya kufeli shule na wala hajawahi kupitia njia za mkato kwenye elimu yake, hili nina uhakika nalo 100%, ninamfahamu kwa muda mrefu sana.Kama ni kufeli darasani hata Pole Pole ni failure, tena failure mbaya akiwa secondary.
Tatizo kubwa la vijana wa CCM ni kufikiri kwa kutumia tumbo badala ya ubongo, na hiyo inatokana na mfumo wa CCM kuwafanya hivyo. Kama huamini, jaribu kuangalia wale vijana wote machachari waliokuwa upinzani halafu wakahamia CCM na kupewa vyeo, sikiliza wanachosema sasa na kukifanya, ni upuuzi mtupu.
Kuwa mwanaCCM tu, huko ni kulaaniwa.
Kwahiyo MREMA alishida uchaguzi au aliiharibu CCM??Unamkumbuka mtanzania kwa jina la Lyatonga Mrema ulizia ngoma yake ilikuaje…kaa kwa kutulia mkuu…life is just one big lie my friend, life is an illusion…kila jambo linawezekana
Kujenga hoja hata Steve Nyerere au Msukuma au yule mbunge wa Kahama Kishimba wote wanaweza, tena vizuri tuu. Tatizo misimamo na kutoaminika, hivi unajua kuna Polepole wa rasimu ya mzee Warioba, Polepole wa Magufuli na Polepole wa sasa?? Wewe hapa unazungumzia yupi??Namkubali mh PolePole anajua kujenga hoja na ana madini mengi kichwani
🤣🤣🤣🤣🤣 Wanaume tumebaki wachache duniani
Mwamba unamapenzi kindakindaki na chademaUnaiwaza Chadema kuliko hata unavyomuwaza mume wako.
Kujenga hoja ili utetee dhulma ni ushetani.. watu walivokuwa wanateswa na kunyimwa haki zao za kuishi kwann hakujenga hoja za kuwatetea? Bila shaka alikaa kimya ili kutetea tumbo lake. Kwake yy tumbo n muhimu kuliko uhai wa wengine! Angekuwa kijana makini angepaza sauti na km wangekataa kumsikiliza alipaswa kujiuzulu! Kwa hilo angejipa reputation kubwa sana! Ukitaka kumjua huyu snitch just think u-turn aliyopiga kwenye katiba mpya yy n Kabudi!Namkubali mh PolePole anajua kujenga hoja na ana madini mengi kichwani
Tatizo wewe unachagia kwa kukurupuka na kusukumwa na chuki ndani yako! Hapo ulipo haujaruhusu matumizi ya ubongo unatumia hasira na ndo unapoaanza kufeli!Kujenga hoja ili utetee dhulma ni ushetani.. watu walivokuwa wanateswa na kunyimwa haki zao za kuishi kwann hakujenga hoja za kuwatetea? Bila shaka alikaa kimya ili kutetea tumbo lake. Kwake yy tumbo n muhimu kuliko uhai wa wengine! Angekuwa kijana makini angepaza sauti na km wangekataa kumsikiliza alipaswa kujiuzulu! Kwa hilo angejipa reputation kubwa sana! Ukitaka kumjua huyu snitch just think u-turn aliyopiga kwenye katiba mpya yy n Kabudi!
Huenda ukawa sahihi hao jamaa hasa Polepole ameamua kuwa mpiga kelele sababu kiwango cha ulaji na wadhifa umepungua japo bado ni mbunge ila ushawishi wake sio mkubwa chamani.Hivyo vichwa vyote vilivyoitwa hapo ni vibovu,na ndiyo hao hao walikuwa wanapalilia suala la mwendazake kuongezewa muda Ili atawale zaid,kama mtakumbuka Jerry Slaa alifikia had hatua ya kutaka katiba ibadilishwe,video zake zipo mitandaoni,huyo pole pole ndiyo kabisa kashirik Sana kuua upinzan na kukandamiza hata haki za Wana ccm wenzake enz za jiwe,they have to pay for their own karma,
Kama vipi wapigwe chini tuh nguchiro hao
Mbona Wanaogopa kuwafukuza chamani?Sidhani ma sioni hilo likitokea. Hao hawana lolote la kuitishia serekali
Unaye mwita Chakubanga anawapa madini wameshindwa kumjibu. Vikao akaulizwe nini kwani anachozungumza ni ya kawaida tu na wala havunji katiba ya nchi wala ya CCMtangu chakubana aanze kufukiza moshi naona wahuni wamepunguza mashambulizi kwa mwendazake, je, hii inaashiria wahuni kuzidiwa ujanja na chakubanga?
Mbona unaropoka kama umekunywa maji ya chooni? Ishu inahusu CCM na makada wake sasa Chadema inaingiaje hapa?Labda waibwage Chadema wana nguvu gani za kiasisa? Vyeo vyote wamepewa na CCM alishindwa Lowasa alikuwa na watu .
Alisha ambiwa kaja na kokoro, na chama kina wenyewe,ukijua upana wa kauli hii,huwezi kujisumbua ,vaa vazi lile,au miliki KADI ya chama kileNamkubali mh PolePole anajua kujenga hoja na ana madini mengi kichwani
Namkubali mh PolePole anajua kujenga hoja na ana madini mengi kichwani