Polepole, Silaa na Gwajima wataibwaga CCM Dodoma

tangu chakubana aanze kufukiza moshi naona wahuni wamepunguza mashambulizi kwa mwendazake, je, hii inaashiria wahuni kuzidiwa ujanja na chakubanga?
 
Mnataka kutuaminisha POLEPOLE, SILAA, GWAJIMA ni wakubwa kuliko LOWASSA, MEMBE, KINANA, SOPHIA SIMBA na MAKAMBA??
 
Kawambie ukweli wambie wajue wao sio maarufu na muhimu kwenye chama kama wanavyodanganywa mtandaoni.
Ccm inaweza kuwabwaga wao bila madhara yoyote na ccm ikaendelea mbele kama vile hakuna kilichotokea[emoji23][emoji23]
 
Sidhani ma sioni hilo likitokea. Hao hawana lolote la kuitishia serekali
 
Naona siku hizi Ritz umerudi kwa kasi jukwaani baada ya yule mtawala wa kusukuma kudanja. Hichi kibibi cha kikojani huenda kitakuwa kinakulipa fresh.

KuNA kitu hujaelewa kuhusu sisi,

Hatupendi kukwamisha juhud za watawala,msukuma alikuwa ni mtawala anaeongoza Dola tulimpa nafas aongoze,pamoja na utawala wake wa hovyo hukuwahi tuskia sisi tukimnanga yule jamaa,tungefanya hivyo mngesema oooh tunamnanga kwa kuwa ni mkristo,

Unaona kwa sasa tumerud kwa kuwa kama mnavyoona mnamsakama huyu mama kwa kuwa sometimes ana just affiliation na uislam,so that's very bad,ahukumiwe kulingana na ilan ya chama chake na sera zake,na siyo iman yake
 
Hiyo ni ndoto ya mwehu,wewe unaijua ccm?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hivyo vichwa vyote vilivyoitwa hapo ni vibovu,na ndiyo hao hao walikuwa wanapalilia suala la mwendazake kuongezewa muda Ili atawale zaid,kama mtakumbuka Jerry Slaa alifikia had hatua ya kutaka katiba ibadilishwe,video zake zipo mitandaoni,huyo pole pole ndiyo kabisa kashirik Sana kuua upinzan na kukandamiza hata haki za Wana ccm wenzake enz za jiwe,they have to pay for their own karma,

Kama vipi wapigwe chini tuh nguchiro hao
 
Ukweli ni kwamba Humphrey Pole Pole hana historia ya kufeli Shuleni. Nakushauri ujiridhishe kabla ya kuongelea masuala binafsi ya mtu yeyote kwenye Jamvi kama hili.
 
Namkubali mh PolePole anajua kujenga hoja na ana madini mengi kichwani
Unajua pale CCM sioni mtu mwenye ushawishi kama polepole maana amejipambanua kutetea wananchi! Lakini pia Gwajima ni hot kwa kuongea mambo nyeti ukimwangalia Slaa nae ni shida yuko vizuri! Yaaani ile kamati vichwa panzi lazima waheme kwa nondo!
 
Kwanini unaita watu wahuni? Ao wahuni wakina nani?

Polepole:- Mwwketi nafikiri ile fail la mali zaa chama unalo embu pitia humo utakutana na wahuni
 
Yaani hawajamaa wanatosha kuanzisha chama chao na wataungwa mkono vibaya mno…
 
Unajua pale CCM sioni mtu mwenye ushawishi kama polepole maana amejipambanua kutetea wananchi! Lakini pia Gwajima ni hot kwa kuongea mambo nyeti ukimwangalia Slaa nae ni shida yuko vizuri! Yaaani ile kamati vichwa panzi lazima waheme kwa nondo!

Amejipambanua kutetea wananchi,hao wananchi Wana Kosa Gani hadi awatetee??

Unadhan pole pole had leo angekuwa katibu wa itikad na ueneze wa chama ungeskia hizo kelele zake?

Maviete hakuna Tena,maisha yamechange kwann asipige kelele
 
Mnataka kutuaminisha POLEPOLE, SILAA, GWAJIMA ni wakubwa kuliko LOWASSA, MEMBE, KINANA, SOPHIA SIMBA na MAKAMBA??

Unamkumbuka mtanzania kwa jina la Lyatonga Mrema ulizia ngoma yake ilikuaje…kaa kwa kutulia mkuu…life is just one big lie my friend, life is an illusion…kila jambo linawezekana
 
Unajua pale CCM sioni mtu mwenye ushawishi kama polepole maana amejipambanua kutetea wananchi! Lakini pia Gwajima ni hot kwa kuongea mambo nyeti ukimwangalia Slaa nae ni shida yuko vizuri! Yaaani ile kamati vichwa panzi lazima waheme kwa nondo!

Wacha vijana wazidi kung’ara mkuu…
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…