Polepole ni mnafiki kama wanafiki wengine

Kipindi cha Jiwez, alikuwa ndiye mtongoza na mhongaji wapinzani wajiunge CCM, alitumiwa sana kuua Demokrasia nchini, mfumo wa sasa umemuweka kando anajaribu kujambisha tu pengine apewe cheo, kwa ujumla hana nguvu hiyo ajayojitapa anayo...
 
Polepole uhuni kajifunzia CCM na huko wahuni wenzie bado wako
Anacholilia ni kutengwa na kutupwa.
Hakuna hata maana CCM mmoja aliewahi kua mwema.
Huwezi kua mwema wakati umeshiriki kuiba,kubadilisha na kuficha mabox ya kura za wapinzani ili CCm ishinde halafu ukajiiona wewe ni mtu wa haki.
Yote hayo yamefanyika sio wakati wa Mqendazake TU,Bali nyakati zote polepole yumo humo hajawhi hata kushauri TU haki itendeke.
CCM ni ilieile wanachobadilishaga ni Mwenye kiti.
Polepole Hana tofauti na Nape,Mwigulu, January na wengine kama wao,Hawa walishiriki kuwapatia machungu makubwa Wapinzani, lakini wao yalioowakuta wakaanza kutafuta huruma za watu,waliporudishwa kwenye mfumo walikua kimya na maovu yakaendeela kama kawaida.
Huyu ni mhuni TU hana lolote.
Kwa hiyo wewe hapa duniani hujawahi kutenda kosa lolote?
 
Siandiki mengi.
Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa.

Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru.

Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU.

Baadhi ya wapinzani na wasio wapinzani walitekwa,walipigwa ,waliumizwa na wengine waliuliwa mbona hakukemea au kujiuzuru?

Kuna wafanyabiashara na wasio wafanyabiashara walifilisiwa na wengine kufungwa mbona hakujiuzuru?

Mbowe na wenzake walikua na kesi ngumu wakati akiwa serikalini na chamani kama hii ya Leo ya Lissu mbona hakuonesha kukerwa wala kuipinga kesi hiyo ya uongo?

Humphrey Polepole Karma inakula ndugu.

Mifumo mliyoijenga na kuikumbatia inawarudi.

Pambana TU utarudi kundini hata Nape alipitia unayopitia lkn Mungu aliamua kesi.
Duniani wanafiki ni wengi lakini kwenye hili alilofanya ni kama katubu maovu yake!
 
Kipindi cha Jiwez, alikuwa ndiye mtongoza na mhongaji wapinzani wajiunge CCM, alitumiwa sana kuua Demokrasia nchini, mfumo wa sasa umemuweka kando anajaribu kujambisha tu pengine apewe cheo, kwa ujumla hana nguvu hiyo ajayojitapa anayo...
Maisha yapo mbele... Huwezi kumtupa mtu motoni kisa maisha yake ya awali hata kama kaongoka, katubu na kujiengua upande wa dhuluma!
FUATILIA:
Mtume... Mitume.... Manabii... wote walikuwa na awali yenye mashaka lakini mwisho mwema!
 
Mnafiki alijenga daraja mtaani kwenu utaacha kupita? Unafiki anao na ni boya kweli, ila wacha tumtumie
 
Siandiki mengi.
Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa.

Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru.

Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU.

Baadhi ya wapinzani na wasio wapinzani walitekwa,walipigwa ,waliumizwa na wengine waliuliwa mbona hakukemea au kujiuzuru?

Kuna wafanyabiashara na wasio wafanyabiashara walifilisiwa na wengine kufungwa mbona hakujiuzuru?

Mbowe na wenzake walikua na kesi ngumu wakati akiwa serikalini na chamani kama hii ya Leo ya Lissu mbona hakuonesha kukerwa wala kuipinga kesi hiyo ya uongo?

Humphrey Polepole Karma inakula ndugu.

Mifumo mliyoijenga na kuikumbatia inawarudi.

Pambana TU utarudi kundini hata Nape alipitia unayopitia lkn Mungu aliamua kesi.
mnafiki ni wewe! NI WEWE!!!;
 
Muda wa uchaguzi huu anacheza na akili za watu.
Ni kwamba CCM wote hakuna mtu hata mmoja mwema,ila sema mnakulana wenyewe kwa wenyewe kama mbwa mwitu.
Chama chemu chote ni genge la wahuni,Hana jipya, Yuko kama alivyokua Nape, wakati wa Mwendazake alipotolewa alilia,aliporudishwa akacheka.
Hamna kitu.
Achana na hizo abracadabra; tueleze uongo aliousema.
 
Siandiki mengi.
Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa.

Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru.

Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU.

Baadhi ya wapinzani na wasio wapinzani walitekwa,walipigwa ,waliumizwa na wengine waliuliwa mbona hakukemea au kujiuzuru?

Kuna wafanyabiashara na wasio wafanyabiashara walifilisiwa na wengine kufungwa mbona hakujiuzuru?

Mbowe na wenzake walikua na kesi ngumu wakati akiwa serikalini na chamani kama hii ya Leo ya Lissu mbona hakuonesha kukerwa wala kuipinga kesi hiyo ya uongo?

Humphrey Polepole Karma inakula ndugu.

Mifumo mliyoijenga na kuikumbatia inawarudi.

Pambana TU utarudi kundini hata Nape alipitia unayopitia lkn Mungu aliamua kesi.
Kuna kuokoka mwanangu. Leo tuko wote kwenye conference
 
Kwa hiyo wewe hapa duniani hujawahi kutenda kosa lolote?
Shida sio kwamba aliwahi kufanya makosa na Sasa kaacha.
Shida ni kwamba hajaacha kabisa kufanya hayo makosa,
Shida ni kwamba yeye TU haelewani na huu utawala uliopo Sasa hivi.
Huyu Bwana kama kesho utawala uliopo ukiondoka atarudi kundini CCM,na Tabia ya CCM ni Ileile.
Maovu yote na uhuni wote anaojifanya kuyakataa Leo,yaliyofanywa wakati wa Mwendazake, alikuwemo kwenye mfumo na hakukemea chochote.
Nakuhakikishia baada ya utawala huu kupitia huyu Bwana atarudi kwenye mfumo na uhuni wote utaendelea kama kawaida.
 
Kuna mwanasiasa asiyekuwa mnafki?
Hayupo,ndio maana Mimi simshabikii kwa( haya yanayotokea) na ninaona wacha aonje uchungu wa dawa alioshiriki kuwalisha wengine,na wala simuoni kama mwanamapinduzi wa kweli.
 
Kuna kuokoka mwanangu. Leo tuko wote kwenye conference
Nakubaliana na wewe 100 kwa 100 kua Kuna kuokoka ,ila kwa huyo na wengine kama yeye huko CCM hakuna kuokoka ni upepo TU mbaya umempitia, upepo huo uliopita utazijua rangi zake halisi.
Kuna watu walikua wanarekodiwa kwenye utawala aliokua anaufurahia nao waliishi kwa hofu kama aliyonayo yeye Leo hii,tuadhani watu hao wameokoka lakini Leo wamerudi kundini na wanafurahia kuona walio nje wakiteseka wala hawajakemea.
Unakumbuka Nape na kinana walirekodiwa?
Je huo haukua uhuni?
Polepole aliukemea uhuni huo?
Je nape naweza kuukemea uhuni huu unaofanyika Leo hii ?
 
Kinachomtesa huyu si uzalendp ila ni tim ndan ya kijani.
 
Hayupo,ndio maana Mimi simshabikii kwa( haya yanayotokea) na ninaona wacha aonje uchungu wa dawa alioshiriki kuwalisha wengine,na wala simuoni kama mwanamapinduzi wa kweli.
Ila Polepole angeweza kuwa chawa na kuendelea kula maisha.
 
Polepole,Kakurwa,Ngugai na wenzake hawakumkubli Mama Yao na walitamani kumuengua.Aliemuokoa Mama Yao na Afande.hivyo hata nafasi ya uchawa asingeipata.
 
CCM wote hakuna mtu wa maana ila Kuna wenye nafuu ila wewe huenda ndiyo mjinga wa Mwisho maana hujaona tatizo
Siandiki mengi.
Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa.

Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru.

Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU.

Baadhi ya wapinzani na wasio wapinzani walitekwa,walipigwa ,waliumizwa na wengine waliuliwa mbona hakukemea au kujiuzuru?

Kuna wafanyabiashara na wasio wafanyabiashara walifilisiwa na wengine kufungwa mbona hakujiuzuru?

Mbowe na wenzake walikua na kesi ngumu wakati akiwa serikalini na chamani kama hii ya Leo ya Lissu mbona hakuonesha kukerwa wala kuipinga kesi hiyo ya uongo?

Humphrey Polepole Karma inakula ndugu.

Mifumo mliyoijenga na kuikumbatia inawarudi.

Pambana TU utarudi kundini hata Nape alipitia unayopitia lkn Mungu aliamua kesi.
 
This time sio mnafiki kapiga kwenye mshono. Kamuibua dr Malisa Phd.
 
Back
Top Bottom