Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,258
- 7,143
Siandiki mengi.
Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa.
Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru.
Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU.
Baadhi ya wapinzani na wasio wapinzani walitekwa,walipigwa ,waliumizwa na wengine waliuliwa mbona hakukemea au kujiuzuru?
Kuna wafanyabiashara na wasio wafanyabiashara walifilisiwa na wengine kufungwa mbona hakujiuzuru?
Mbowe na wenzake walikua na kesi ngumu wakati akiwa serikalini na chamani kama hii ya Leo ya Lissu mbona hakuonesha kukerwa wala kuipinga kesi hiyo ya uongo?
Humphrey Polepole Karma inakula ndugu.
Mifumo mliyoijenga na kuikumbatia inawarudi.
Pambana TU utarudi kundini hata Nape alipitia unayopitia lkn Mungu aliamua kesi.