Polepole ni kama alisahau kitu kule Sekretarieti ya CCM

Polepole ni kama alisahau kitu kule Sekretarieti ya CCM

Pole pole aliondolewa nafasi ya Katibu mwenezi na JPM, ila shaka alisimamishwa kazi na JPM kupitia pole pole, leo samia aliyekuwa makamu wa Rais anamteua shaka kuwa katibu mwenezi nafasi iliyokuwa ya pole pole. Siasa ni somo gumu kulielewa
Plpl anaongea sana (ana piga sana kelele) Mimi niliacha kumsikiliza
 
Dr Bashiru Ally yuko kimya

Taslima yuko kimya

Mpogolo yuko kimya

Ni Polepole peke yake anayezunguka kwenye media ilhali alishastaafu na kuzawadiwa ubunge

Polepole umesahau nini kule ofisini kwa Shaka?

Maendeleo hayana vyama!
Anawawakilisha hao uliowataja. Wote wapo nyuma yake.
 
Dr Bashiru Ally yuko kimya

Taslima yuko kimya

Mpogolo yuko kimya

Ni Polepole peke yake anayezunguka kwenye media ilhali alishastaafu na kuzawadiwa ubunge

Polepole umesahau nini kule ofisini kwa Shaka?

Maendeleo hayana vyama!
Huenda ndiye aliyekuwa mwihifadhi was ripoti ya ukaguzi Mali za chama chakavu, chama kijani, chama la chukua chako mapema, shida ni kuwa alijua angekuwa Maza kuu daima na kusahau kama maisha ni kupanda na kushuka mabonde na milima🤔.
 
ccm kumnyamazisha huyu punguani hawataweza coz wanahofia kumwagwa hadharani mafaili ya kifo cha mwendazake hivo wataendelea kumvumilia hivo hivo.
 
Kwa mwenye akili timamu, unawezaje kumwalika Rais azindue jiwe la msingi ujenzi wa bandari bila mkataba wowote?
Ila tulimuelewa mwendazake aliyekuwa akizindua miradi ya zamani iliyokwishazinduliwa na mtangulizi wake.
 
ccm kumnyamazisha huyu punguani hawataweza coz wanahofia kumwagwa hadharani mafaili ya kifo cha mwendazake hivo wataendelea kumvumilia hivo hivo.
Huyo atanyamaza mwenyewe muda wake ukifika. Hana hata faili moja. Alikuwa Gwajiboy hapa yuko wapi now.
 
Huyo ni mkufunzi wa shule ya uongozi
 
POLEPOLE atunze kamisheni yake ya ubunge wa Jimbo la tumboni pake..

Hakika 2025 hatorudi Tena bungeni huyo panya mabaka....

Joni nenda ukamshtue huyo asije sema hakuambiwa ..

Kanuni ileile aliyotumia kuwanyonga akina Lema wasirudi bungeni ndio hiyohiyo itakayotumika kutomrudisha bungeni

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom