Polepole: Mungu akituvusha, turekebishe viongozi wastaafu washtakiwe

Polepole: Mungu akituvusha, turekebishe viongozi wastaafu washtakiwe

Hii sheria ni nzuri sana ila ilipaswa kuanza na Rais wa kwanza alieifanya nchi kuwa maskini kwa ujamaa wake ambao hakuulewa kabisa sijui alisomea wapi kisha wenzake waliofuata na kugawa vitalu na makampuni na wengine hadi kujenga mahoteli South Africa, kuifanya hii sheria sasa hivi ni udini , uzandiki na unafki wa grade one, kwanza haina mashiko huwezi kujua muktadha wa maamuzi mpaka wewe ndiwe unaeamua jambo, wastaafu waachwe wapumzike.

Ukweli unakata pande zote, muda utaongea kinachotafutwa kitadhihiri siku moja digidigi akichafukwa zaidi atasema openly his motives. Ni wazi kakata pumzi
 
Hii sheria ni nzuri sana ila ilipaswa kuanza na Rais wa kwanza alieifanya nchi kuwa maskini kwa ujamaa wake ambao hakuulewa kabisa kisha wenzake waliofuata na kugawa vitalu na wengine hadi kujenga mahoteli South Africa, kuifanya hii sheria sasa hivi ni udini ulio wazi, haina mashiko, ukweli unakata pande zote, muda utaongea kinachotafutwa kitadhihiri siku moja digidigi akichafukwa zaidi atasema openly his motives. Ni wazi kakata pumzi
Watu wanamsifia tu ila ukweli aliharibu nchi kbs
 
Ulhee, kumeanza kupambazuka...
ila Rostam, Mungu anamuona hata soni hana...
Huku tunadurumiwa na hela hiyo hiyo ndo inayotumika kutukandamiza/ Kutubagaza ktk nchi yetu kweli...!!
 
Humphrey Polepole amesema "Mungu akituvusha, turekebishe sheria ya viongozi wastaafu washtakiwe iondoke, hawa watu waanze kujibu tuhuma na matumizi mabaya ya madaraka wakati wako madarani"

POLEPOLE ni mtu ana style nyingi za mashambulizi! Sasa anapita kwenye ufisadi mpaka kieleweke ! Maana sasaivi ajenda iliobaki ni kuchafua sura ya huyu mdoli anaeendeshwa na rimoti! WATANZANIA TUAMKE PUMBAVU ZETU SISI! TUNAKUBALIJE ROSTAM ANAJIMILIKISHA MIGODI MIWILI MUHIMU KWENYE NCHI KWA BILIONI 35? WAKATI MO ANAMWAGA BILIONI 80 KWA SIMBA TU! JE SIMBA INATHAMANI KULIKO MIGODI YA MADINI YA ROSTAM? SAMIA TUTAMFUNGA ASIPOKUBALI SASA KWA HIYARI!
KWASASA MAMLAKA ZINATAKIWA ZITOE TAARIFA RASMI ZA UMILIKI HALALI WA MIGODI HIYO ALIYOITAJA POLEPOLE ILI TUJIRIDHISHE SISI WANANCHI UKWELI KUHUSU JAMBO HILI.
 
Napataga tabu Sana na viongozi wa Tanzania, juzi juzi tu hapo SI ndio walitaka na huenda ilishakuwa sheria kwamba spika wa bunge, jajikuu na mwanasheria wa serikali wasishtakiwe Kwa kosa lolote walilolifanywa wakiwa madarakani? Kweli madaraka hulevya lakini sometime tujue Kuna wakati hutakuwa kiongozi na tuna vizazi vyetu mbeleni. Polepole lamda nikusamehe tu coz ushatubu lakini utawala wenu ndio ulianzisha haya mambo
 
Watu wanamsifia tu ila ukweli aliharibu nchi kbs
Kabisa
1.ujima (Primitive Communalism) - watu wanazalisha pamoja mashambani na kugawana sawasawa, wengine wachapa kazi wana mashamba pembeni
2. Ukabaila (Feudalism) - Mabwanyenye wenye mashamba pembeni wanayakuza na kuajiri vibarua na kuwanyonya na kutajirika kwa kupata mitaji
3. Ubepari (Capitalism) = mabwanyenye wenye mitaji wanaanzisha viwanda vidogo na kuungana kufanya viwanda vikubwa , wanamiliki bizness na kuwanyonya wafanyakazi proletariat kupitia mishahara midogo mno.
4. Ujamaa (Socialism) = "wafanyakazi wa viwandani au proletariat" wanachoka kunyonywa na mabepari wanafanya mapinduzi (proletariat revolution) na kuvunja mfumo wa ubepari na kurudisha ukwasi wa mabepari mikononi mwao na serikali
5. Communism = Serikali inasimamia ukwasi ulioporwa kwa matajiri na kugawa kwa raia kupitia elimu bure, madawa bure, nyumba bure

Hii ni theory ya Karl Marx kwa wale wanaosomea bongo kwa kukariri bila kuambulia kitu. Nendeni nje mkasome. Nae Marx ikumbukwe alikuwa mtu maskini sana aliechukia unyonyaji wa matajiri!

Haya huo ujamaa wa yule Mzee kautoa kitabu gani, ujamaa is utopian, ideology ya kufikirika isiyotekelezeka, huwezi kuanzisha ujamaa bila nchi kufikia hatua ya viwanda na bizness kubwa, ubepari na kupora utajiri wa mabepari , hao mabepari wa bongo walikuwa kina nani wakati akitangaza ujamaa? Ni viwanda gani vikubwa vilikuwa mikononi mwa mabepari, Je tulishafikia ubepari? Je tulikuwa na proletariat? Ni utajiri gani tuliogawana? Mzee alichemka na kufuka moshi haswa!!

Digidigi aache udini aanze na huyo kwanza! Nonsense kabisa!
 
Back
Top Bottom