UZALENDO KWA NCHI YAKE NDIO MAANA AMEKUBALI KUACHA UKUU WA WILAYA NA KWENDA KULITUMIKIA TAIFA KUPITIA UENEZI NA ITIKADI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KILICHOUNDA SERIKALI ILIYOUNDA WAKUU WA MIKOA NA WILAYAHayo yameelezwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole alipokuwa akijibu maswali ya wananchi kupitia kipindi cha KIKAANGONI kinachoruka LIVE kila Jumatano saa 8 mchana kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV.
View attachment 454539
Uongo ni dhambi kama dhambi zingine mf. Kuuza unga, we kemea ufisadi wakati vitu vidogo unafanganya.
Hatuwez kukuamin wewe hata siku moja aisee uache mshahara Wa ukuu Wa wilaya 4milion na kitu uende kwenye Chini ya million? Acha uongo
Du! Uzalendo kwa chama, kupenda ni kubayaUZALENDO KWA NCHI YAKE NDIO MAANA AMEKUBALI KUACHA UKUU WA WILAYA NA KWENDA KULITUMIKIA TAIFA KUPITIA UENEZI NA ITIKADI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KILICHOUNDA SERIKALI ILIYOUNDA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA
Kwani nani kakwambia katiba mpya ndio uzalendo. Kua na serikali tatu ndio uzalendo? Wee inabidi kwanza upate darasa nini maana ya uzalendo.Jamaa kapiga mdomo kupitia katiba mpya kwa kujifanya mzalendo,kumbe ilikua gia ya kuji expose,saiv kapewa shavu.
Hawa kweli si watu wa kuwaamini.pesa sio mchezo
Alivyo kua anaitetea katiba ya walioba tutajua huyu mtu Wa ukwel Lkn duuh kumbeJamaa kapiga mdomo kupitia katiba mpya kwa kujifanya mzalendo,kumbe ilikua gia ya kuji expose,saiv kapewa shavu.
Hawa kweli si watu wa kuwaamini.pesa sio mchezo