Polepole mnafiki sana, hivi anakumbuka aliyasema haya ndio anayafanya sasa?

Dah hata miaka miwili haikupita akakana dhamira yake.... leo hii anasema watanzania wanataka maji na barabara sio katiba!!! So sad
 
Utapiamlo Ndiyo Hali Ya Wasomi Wetu
Mwanaharakati Anayejitia Aibu
 
Hiki cheo cha uenezi IPO siku watasema nape viatu vilimkaa sawa sawa.slow slow ajawahi kuwa hata muenez wa tawi mnatwika majukumu yanaomzidi uwezo .one day atakuja aurejee tena ule msimamo wake madc na marc hivyo vyeo vifutwe
 
Yaani jina lake tu lilimaaanisha vipi ubongo wake unavyofanya kazi zake, Hivyo tusihangaike nae bwana huyu
 
Siasa ni "Sayansi ya Siasa" na siyo "Sayansi ya Sanaa !!

Kwa hiyo unafiki ni sehemu na maisha ya wanasiasa wote duniani.


Mfano, maprofessa, madaktari (PhD ) wamekana Theses / tafiti zao mchana kweupe sasa huyo Polepole angeponea wapi !

Je, unafikilia kuwa Polepole, angeponea wapi na elimu yake ya sekondari ukichangia na utumbo mnene unafanya yake basi ni majanga sana !!

Hebu ona alivyosifiwa hapa miaka michache sana sasa linganisha n'a akifanyacho leo na macho ameyakaza n'a uso kaukaza hana hata aibu !

Humphrey Polepole ni nani?
 
Yaani jina lake tu lilimaaanisha vipi ubongo wake unavyofanya kazi zake, Hivyo tusihangaike nae bwana huyu

Nimecheka sana Aiseee. :D:D:p:):):)

Eti jina lake tu linaonesha ubongo wake ulivyo.

Dogo, alikuwa mzuri sana hata Class.
Tatizo lake lilianza pale alipoanza kuwa mwanaharakati uliomfanya apate division 0 akiwa High School mkondo wa PCB.

Lakini sasa hivi huyu ni bora tu kama asingezaliwa maana ni aibu sana kwa aliyoyaamini n'a anayojifanyia Kwa sasa !!! .
 
Back
Top Bottom