GE2025 Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

Kusema ni mgombea mmoja ni makosa

Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!

“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”

Soma zaidi
 
Moto uwake moto uwake moto uwake

Diamond: Nipeni barua yangu!
Wamama: Niisome!
Diamond: Nataka barua yangu !
Wamama: Niisome!
Diamond: Nasema barua yangu!
Wamama: Niisomeeeee!!!
Diamond: ayeeeeeeeeyee!!
Kinanda: tiririri riririri
 
Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

Kusema ni mgombea mmoja ni makosa

Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!

“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”

HaahaaHaahaa wapi Msajili wa vyama vya siasa?
 
Back
Top Bottom