Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,730
Polepole kadumaa kabisa...very dormant mentally and physically...hana uhalali wala haki ya kusema fulani afutwe au vp...!!
Huyu dogo mpuuzi sana, anajifanya anajua siasa sana...tokea lini kipindi hiki cha uchaguzi MAKUNDI YASIWEPO...!!? Makundi ni Lazima kipindi hiki cha uchaguzi, sio mara ya kwanza...ni mara zote makundi makubwa yanaibuka wakati wa uchaguzi within party na baadae uchaguzi mkuu...
Makundi ndio yanayochagua, haiwezekani kisiwe na makundi kipindi hiki...sbb wanaompenda mtu fulani ndani ya chama HUONYESHA MAPENZI YAO...na ndio DEMOCRASIA....wana chama kuwa wazi kuonyesha wa wanampenda nani...tayari makundi yanatokea kwa wanachama kuwapenda wanao ona wanafaa kuwa viongozi wao...So makundi ni sehemu halali ya demokrasia kipindi cha uchaguzi...!!
Polepole ni mpuuzi, anajifanya anajua saana kumbe pumba tu anaongea...very foolish...!!!