PolePole: Lowassa na Membe Tupa Nje Mapema Tu.

Bintiwangara

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
551
Reaction score
287
Kijana Mashuhuri ,Mmoja wa Wajumbe kwenye Tume ya katiba Mpya Yaani Tume ya Warioba ,amejimbambanua na kusema yeye ni mwanachama wa ccm, pia anakitakia Chama chake afya Njema ,Amesema kwamba , Kutokana na Makundi Makubwa mawili ndani ya CCM, yaani Team Membe na Team Lowassa. "Haya makundi yatakimaliza Chama" Watu hawa wawili hawaruhusiwi kufika kwenye Kamati kuu yaani CC. kinachotakiwa Majina yao yaondolewe Mapema Sana wakati wa kumtafuta Mgombea Uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi.

wewe Mwana CCM na wewe mwananchi unaonaje na Ushauri wa Ndugu PolePole? Leta Maoni yako siyo Matusi.
 
Mwanasheria kijana ,Mmoja wa Wajumbe kwenye Tume ya katiba Mpya Yaani Tume ya Warioba ,amejimbambanua na kusema yeye ni mwanachama wa ccm, pia anakitakia Chama chake afya Njema ,Amesema kwamba , Kutokana na Makundi Makubwa mawili ndani ya CCM, yaani Team Membe na Team Lowassa. "Haya makundi yatakimaliza Chama" Watu hawa wawili hawaruhusiwi kufika kwenye Kamati kuu yaani CC. kinachotakiwa Majina yao yaondolewe Mapema Sana wakati wa kumtafuta Mgombea Uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Acha Wafu wazikane,Ukawa ni sherehe tu.
 
ni matatizo yaleyale ya utandaufu, kukosa habari. hakuna uchaguzi duniani usio na makundi au wapambe wala haiwezi tokea. kila mtu ana makundi, ukubwa au udogo wa kundi hauna ushahidi. unapomaanisha makundi unamaanisha timu inayomzunguka. na karibia kila timu haina wajumbe wengi kiviile. labda uongelee uungwaji mkono, sasa hapo ukisema huyu na yule wanaungwa mkono sana kwa hiyo waondolewe ndo uchizi wenyewe unavyowajiaga watu. chizi akiona pikipiki nyingi kwa njia anatamani azipige moto zote.
 
We Lowasa hawezi kubali yeye ni Raisi tayari. Huyo Membe na wenzake wacha wasindikize
 
huyu naye anachanganyikiwa...siasa ni watu,watu ndio wanapiga kura....ukimtoa mtu mwenye watu utapata wapi kura? mtaji wa mwanasiasa ni watu,kama huna watu kafanye kazi ya kuchimba mitaro
 
Huyo Polepole aache uchizi ccm sio ya baba yake Lowasa ndio rais ajae wa Tanzania
 
Polepole hajawahi kuchaguliwa hata kiranja wa bweni, atachambuaje wagombea? Hiyo kadi ya ccm anayomiliki atuambie ni namba ngapi ya tawi gani? Haka kajamaa kashenzi tu.
 
Sasa mbona unahamaki hadi linakutoka tusi?

Hebu chambua hoja, kwanini unaona mawazo ya Polepole hayana msingi.

Kutoa matusi tafsiri yake inakuwa kama umeishiwa hoja.
 
huyu naye anachanganyikiwa...siasa ni watu,watu ndio wanapiga kura....ukimtoa mtu mwenye watu utapata wapi kura? mtaji wa mwanasiasa ni watu,kama huna watu kafanye kazi ya kuchimba mitaro
Hawo watu anawanunua mpumbafu wewe, watu hao wanafuata mshiko
 
Polepole hajawahi kuchaguliwa hata kiranja wa bweni, atachambuaje wagombea? Hiyo kadi ya ccm anayomiliki atuambie ni namba ngapi ya tawi gani? Haka kajamaa kashenzi tu.

Anataka kuharibu baada ya kung'aa kwa ajili ya katiba mpya
 
Kijana Mashuhuri ,Mmoja wa Wajumbe kwenye Tume ya katiba Mpya Yaani Tume ya Warioba ,amejimbambanua na kusema yeye ni mwanachama wa ccm, pia anakitakia Chama chake afya Njema ,Amesema kwamba , Kutokana na Makundi Makubwa mawili ndani ya CCM, yaani Team Membe na Team Lowassa. "Haya makundi yatakimaliza Chama" Watu hawa wawili hawaruhusiwi kufika kwenye Kamati kuu yaani CC. kinachotakiwa Majina yao yaondolewe Mapema Sana wakati wa kumtafuta Mgombea Uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi.

wewe Mwana CCM na wewe mwananchi unaonaje na Ushauri wa Ndugu PolePole? Leta Maoni yako siyo Matusi.

Polepole anasumbuliwa na udikteta wa kinazi, mrengo wa chama kimoja, kwani ccm ikisambaratika mimi inanihusu nini?
Ni haki kabisa waachwe wafu wazikane wao kwa wao, ccm si baba wala mama yangu kuna Siku naiacha, JK Nyerere. 1995.
 
Ni lini Polepole amekuwa CCM!?! Aache kujikomba huyo mshinda njaa.
 
Back
Top Bottom