SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Katika Press ya Leo. Vaa T-shirt ya Chama (nje-ndani) kuonyesha msisitizo. Usisahau kuvaa usongo kichwani.
Namsubiri kwa hamu kubwa kujua zaidi uozo wa CCM na akina Samia.Katika Press ya Leo. Vaa T-shirt ya Chama (nje-ndani) kuonyesha msisitizo. Usisahau kuvaa usongo kichwani.
Saa 3 usikuNa leo ana press??
Katika Press ya Leo. Vaa T-shirt ya Chama (nje-ndani) kuonyesha msisitizo. Usisahau kuvaa usongo kichwani.
vipi Mwandani wa maraisi wawili ROSTAM AZIZI kaweka mpira KWAPANI? naye avae jezi au tshirt ganiKatika Press ya Leo. Vaa T-shirt ya Chama (nje-ndani) kuonyesha msisitizo. Usisahau kuvaa usongo kichwani.
Umenikumbusha movie za kivetnamKwa wasiojua usongo; usongo
Nomino
Isiyohesabika
1. ni kitambaa chembamba kinachovaliwa kuzunguka upande wa juu wa kichwa.
2. usongo huonesha umakini wa jambo unalolifanya.
3. Usongo huvaliwa na stelingi muongoza mapambano dhidi ya maadui ktk movie zilizotafsriwa na Lufufu Mkandara miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000.
4. Usongo ni haja,/dhima/moyo wa kufanya jambo
5. Kitambaa chembamba kivaliwacho kuzunguka kichwa na Wajapani na Wachina wakati wa ibada za miungu yao
Kitenzi
Pania jambo fulani
🤣🤣🤣🔊Katika Press ya Leo. Vaa T-shirt ya Chama (nje-ndani) kuonyesha msisitizo. Usisahau kuvaa usongo kichwani.