POLEPOLE kuzungumza na waandishi leo mchana

POLEPOLE kuzungumza na waandishi leo mchana

ray jay

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,084
Reaction score
485
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole atazungumza na waandishi wa habari leo majira ya saa nane mchana katika ukumbi wa Kamati Kuu uliopo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam.

"Ni wajibu wa CHAMA kuwaeleza wananchi Serikali yao inafanya nini na kwanini na hivyo vivyo kuielekeza serikali juu ya maoni na matarajio ya watu" - MWONGOZO WA CCM 1981.
 
Anataka kumsema lowassa au mimba Za wanafunzi au kamati ya tatu ya hela za makinikia?
 
Itakuwa habari kama atakuwa anataka kutubu dhambi yake ya unafiki unaotokana na njaa kali aliyokuwanayo!! Tofauti na hilo hana issue.
 
Labda anataka kutoa ufafanuzi wa yule Mlevi wa act feki aliyekaribishwa kwenye mkutano wa Magufuli na kuleta aibu kubwa kwa siasa za ccm
 
Hivi Bashite huwa wanampa nini Mkulu?

Halafu Pole pole huwa anaumri gani?
Ni hayo tu kwa leo!
 
Siyo kijana tena ashazeeka kabisa,pale kibaha alipomkaribisha yule mlevi wa Niagieni,nilisahau kama ni yeye.
 
Huyu ndie anaeipoteza tanzania na mi ushauri yake ya kiji.nga×2
 
Kijana MNAFIKI NAMBA MOJA TANZANIA
Tutake radhi, huyo sio kijana.
Halafu mbona anapuuzwa hivi? Uzi unawachangiaji hawafiki 20?
Mzoga wa ccm unapaswa kuzikwa palepale unapookotewa.
 
PolePole amekuwa mwiba kwa waliozoea siasa za uropokaji.

CCM inaondoka kwenye propaganda za uropokaji na badala yake ni ufafanuzi wa kina na makini kwa maslahi ya Taifa.
 
Tutake radhi, huyo sio kijana.
Halafu mbona anapuuzwa hivi? Uzi unawachangiaji hawafiki 20?
Mzoga wa ccm unapaswa kuzikwa palepale unapookotewa.
mizoga ya CCM hutupwa Ukawa!
 
Back
Top Bottom