LOooh!Yesu alipowaambia wafuasi wake kua ambae anajiona hana dhambi ndie awe wa kwanza kumrushia jiwe yule mwanamke mzinzi (John 8.7) hakuna aliejitokeza. Bwana JM ana usafi wa kutosha kuweza kutaja uchafu wa wengine??
In fact, hakuna wakati mzuri zaidi ya sasa kwa hawa waliojichafua hovyo hovyo kujisafisha.Junior anapima upepo. The guy is loaded has got nothing to loose.
Kuongea kwao ndiko kutakaotia chachu ya wananchi kuchukua hatua; ndiyo sababu tunataka waongee.Hata aongee wasira,kinana,Makamba sr,mahita na yeyote mnae mtaka aongee,.haitakua na maana yeyote kama wananchi hawatachukua hatua..
Mwingine aliyekuwepo kwenye huo uchepushaji wa matokeo ukiacha huyo Njugumawe ambaye hujamtaja alikuwa Nape Nnauye wakisimamiwa kwa karibu na KinanaNilianza kumfahamu (au kumjuwa?), kijana Januari Makamba kupitia kwenye jukwaa hili hili la JF, kwa kusoma barua yake aliyoipa kichwa cha habari cha "Coming to America".
Andiko lake lile lilinivutia, kwa vile maelezo yake yalionyesha kuwa kijana mwenye uzalendo wa nchi yetu Tanzania.
Historia inaonyesha kwamba baada ya hapo amepitia kwenye mikanganyiko mingi, kiasikwamba hata ule uzalendo uliokuwa unajitokeza kwenye barua ile haukuweza kuonekana tena.
kinachonifanya nimkumbuke sasa huyu kijana ni tukio hili la hivi karibuni ambalo Polepole (kijana mwingine) ambaye historia yake haipishani sana na ya huyu Makamba kuamua kulipuka na kudai maslahi ya nchi yake kuwa muhimu zaidi ya chama kinachowanufaisha wao binafsi na watu wao wa karibu.
Sasa namsihi Januari Makamba ajitokeze mbele awaeleze waTanzania kinagaubaga; ile kazi ya kuhesabu kura za ushindi wa CCM mwaka 2015 aliyoisimamia yeye na yule mwenzake aliyempachika Tanesco alipoukwaa uwaziri wa Nishati ilihusika na nini hasa?
Ndiyo haya aliyo yaeleza Polepole?
Januari, ulipo simama sasa hivi, ni fursa nzuri kabisa ya kujirudi na kulikumbuka lile andiko lako uliloliweka kwenye ile barua yako ya "Comimg to America".
Please, do the right thing for your country, which is in a worse situation than it has ever been before.
AiseeMarope ni sehemu ya wana mtandao na anefaidika kweli kweli.. Hana ubavu wa kusimama na kuongea chochote
Nachomaanisha kile chama wasafi ni wachache sana, Kias cha kwamba ukitaka kutaka fulan ataje machafu ya wenzake basi possibility kua nae ana machafu yake ni kubwa pia. Na shida ni kua ukitoka madarakani ukaanza kutaja machafu ya walioko madarakani basi wewe ndio unakua kwenye upande wa kupoteza zaidi.LOooh!
Haya maandiko huwa sipendi sana kuyapa tafsiri, kwa sababu sina ujuzi nayo. Lakini ukisoma vizuri na kwa uangalifu utaona kuwa Makamba ndiye mwenye nafasi nzuri kabisa ya kudai uhalali wa tafsiri ya hicho ulichokiweka hapo.
Nakumbuka Lissu aliwahi sema braza anatembelea jina la mzee.Unaweza kuwa sahihi kabisa juu ya "uroho wa madaraka", na unufaika anaotegemea kuendelea kuupata kwa kunyamazia maovu yanayotendwa dhidi ya Tanzania.
Mimi namkumbushia tu, ule msukumo uliomfanya aandike ile barua iliyoonekana kuwa ilitoka ndani ya moyo wake kwelikweli kuhusu taifa lake la Tanzania.
Kama mtanzanzania; bado sioni sababu ya kumkatia tamaa juu ya uzalendo wake juu ya nchi hii.
Je, wewe ulitegemea kuwa mtu kama Polepole angezungumza aliyoyasema hadi sasa!
Kwa maana nyingine ni kwamba mashuhuda wa kutosha wapo; ambao wanaweza kujitokeza mbele na kuzungumzia kwa uhakika kabisa alicho kisema Polepole.Mwingine aliyekuwepo kwenye huo uchepushaji wa matokeo ukiacha huyo Njugumawe ambaye hujamtaja alikuwa Nape Nnauye wakisimamiwa kwa karibu na Kinana
Maharage ni Team Kikwete na mnufaikaji mkubwa wa haya mambo, hawezi kuthubutuKwa maana nyingine ni kwamba mashuhuda wa kutosha wapo; ambao wanaweza kujitokeza mbele na kuzungumzia kwa uhakika kabisa alicho kisema Polepole.
Sote tunajuwa au kukumbuka pia kwamba hao hao watatu ni kama walikwisha jutia kazi hiyo chafu waliyoifanya wakati huo, baada ya Magufuli kwenda kivyake ambavyo wao hawakutegemea.
Nimemkumbuka Makamba kwa mlingano wake wa karibu zaidi na Polepole, kuliko hao wengine, Nape na Kinana. Nape kwa upande wake alisha kiri kwa uhusika wao wa kura nyakati za uchaguzi, ingawa hakugusia njia ya kimtandao anaozungumzia Polepole.
Kinana hawezi kusema chochote yule wakati huu, kwa sababu hana lolote la kumfanya afaidike nalo kwa kufanya hivyo.
Ni Makamba na pengine huyo Maharage ndio wangesimama na kusema jambo nchi inge wasikiliza kwa makini.
Naona bado wewe unayo matumaini makubwa sana na hiyo unayo iita serikali na dola yake, chini ya Samia na Genge lake..Nachomaanisha kile chama wasafi ni wachache sana, Kias cha kwamba ukitaka kutaka fulan ataje machafu ya wenzake basi possibility kua nae ana machafu yake ni kubwa pia. Na shida ni kua ukitoka madarakani ukaanza kutaja machafu ya walioko madarakani basi wewe ndio unakua kwenye upande wa kupoteza zaidi.
Sababu walioko madarakani wana dola, wewe huku nje "kajificheni" huna chochote kile. Hata kama usemacho ni kweli bas serikali itakanusha simple tu kua sio kweli kama ilivyotokea, kisha hakutatokea chochote. Ila sasa serikali hiyo hiyo ikiamua kupiga revenge kwa CCM ni ngumu sana kukosa mabaya mtu wao, utadakwa tu.
Kanisa la Gwajima siku zote lilikuwepo, ila siku alipoanja kutaja udhaifu wa serikali na polisi wa kutoshughulikia watekaji kanisa likafungwa. Na waumini walipoamua kuhamia kwengine pakaonekana pako barabarani ingawa miaka yote hawakuuona huo ukaribu na barabara.
Sasa mtu kama Kikwete atakuwa na matumaini yapi tena baada ya hapa; kiasi kwamba watu waendelee kumwogopa?Maharage ni Team Kikwete na mnufaikaji mkubwa wa haya mambo, hawezi kuthubutu
😆 umesababisha nitafute story ya makamba "coming to america" ni nzuri na ameonesha uwezo mkubwa wa kuandika story na lugha ya wazungu yuko vizuri sana nime enjoy maana unaisoma kama vile unamsikiliza anaongea😆Nilianza kumfahamu (au kumjuwa?), kijana Januari Makamba kupitia kwenye jukwaa hili hili la JF, kwa kusoma barua yake aliyoipa kichwa cha habari cha "Coming to America".
Andiko lake lile lilinivutia, kwa vile maelezo yake yalionyesha kuwa kijana mwenye uzalendo wa nchi yetu Tanzania.
Historia inaonyesha kwamba baada ya hapo amepitia kwenye mikanganyiko mingi, kiasikwamba hata ule uzalendo uliokuwa unajitokeza kwenye barua ile haukuweza kuonekana tena.
kinachonifanya nimkumbuke sasa huyu kijana ni tukio hili la hivi karibuni ambalo Polepole (kijana mwingine) ambaye historia yake haipishani sana na ya huyu Makamba kuamua kulipuka na kudai maslahi ya nchi yake kuwa muhimu zaidi ya chama kinachowanufaisha wao binafsi na watu wao wa karibu.
Sasa namsihi Januari Makamba ajitokeze mbele awaeleze waTanzania kinagaubaga; ile kazi ya kuhesabu kura za ushindi wa CCM mwaka 2015 aliyoisimamia yeye na yule mwenzake aliyempachika Tanesco alipoukwaa uwaziri wa Nishati ilihusika na nini hasa?
Ndiyo haya aliyo yaeleza Polepole?
Januari, ulipo simama sasa hivi, ni fursa nzuri kabisa ya kujirudi na kulikumbuka lile andiko lako uliloliweka kwenye ile barua yako ya "Comimg to America".
Please, do the right thing for your country, which is in a worse situation than it has ever been before.
Hivi unanisoma na kunielewa lakini?? Isije ikawa naandika mambo ambayo huwezi kuyaelewa nikawa naandika bure. Kama huyaelewi nayoyaandika sema tu,Naona bado wewe unayo matumaini makubwa sana na hiyo unayo iita serikali na dola yake, chini ya Samia na Genge lake..
Mtu anapoamua kuondokana na dhambi huamua kufanya hivyo kwa utashi wake mwenyewe. Huo ndio "uzalendo" tunao uhimiza hawa akina Makamba waukumbuke zaidi nyakati hizi kuliko hizo nyakati nyingine zozote
. Ndiyo sababu namkumbushia ile barua yake (kwa bahati mbaya nimeitafuta, bila ya mafanikio; ili niiweke hapa watu waisome tena).
Sijui kwa nini unasahau kuwa Polepole pia hayo uliyo yataja yanamhusu, lakini kwake unayaona tofauti!
Ninakuomba uipandishe hapa mkuu, huko uliko iona wewe.😆 umesababisha nitafute story ya makamba "coming to america" ni nzuri na ameonesha uwezo mkubwa wa kuandika story na lugha ya wazungu yuko vizuri sana nime enjoy maana unaisoma kama vile unamsikiliza anaongea😆
Sasa unanitafutia ubaya mkuu wangu 'shark' kwa kuhoji uwezo wangu wa kuelewa unacho andika wewe!Hivi unanisoma na kunielewa lakini?? Isije ikawa naandika mambo ambayo huwezi kuyaelewa nikawa naandika bure. Kama huyaelewi nayoyaandika sema tu,
View attachment 3450430
Nimeandika kule juu kua kile chama (ambacho ndio kinachounda serikali) wasafi ni wachache sana, wewe unasema inaonyesha nina matumaini makubwa sana na serikali iliyoko madarakani (inayotokana na hicho chama).Sasa unanitafutia ubaya mkuu wangu 'shark' kwa kuhoji uwezo wangu wa kuelewa unacho andika wewe!
Ni kitu gani hasa kinacho kufanya ufikiri kuwa sijui "uchafu uliopo ndani ya chama cha mapinduzi" wakati kila siku tunaimba nyimbo hizo hizo humu JF?
Sasa nami nikuulize; hivi kweli unasoma na kuelewa ninacho lenga kukieleza mimi?
Kuna mahali popote nimeeleza usafi wa Makamba dhidi ya wenzake walioko CCM? HPolepole ni msafi?
Alaaa!Nimeandika kule juu kua kile chama (ambacho ndio kinachounda serikali) wasafi ni wachache sana, wewe unasema inaonyesha nina matumaini makubwa sana na serikali iliyoko madarakani (inayotokana na hicho chama).
Eti kosovoIli wammalizie 😂😂😂 hamphley anaongelea sijui wapi makamba hapo bumbuli patageuzwa Kosovo🫣🫣🫣 akatafute mahali apumzike Bado ana nguvu za kufanya kazi ana elimu ya kumtosha kama.vipi aachane na ccm aendelee na mambo mengine KULIKO kudhalilija Kila uchao
Ninakuomba uipandishe hapa mkuu, huko uliko iona wewe.
Nakazia mkuuMarope ni sehemu ya wana mtandao na anefaidika kweli kweli.. Hana ubavu wa kusimama na kuongea chochote