Polepole kakosaje Uwaziri?

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,627
Reaction score
5,714
Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri but mzee kaniprove wrong.

Sasa je Polepole kakosa nini mpaka kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?

Je, nani atachukua nafasi yake? Makonda/ Manara/ Jerry Muro?
 
unawaza mbali sana
Huyo katemwa rasmi na mzee, hakuna cha V8 wala posho za kusafiri kama alivyokuwa Katibu mwenezi, angeteuliwa waziri tungesema mzee alikuwa anampa cheo but kuwa mbunge tena jimbo hana it means atakuwa bubu tu humo na hakuna cha mkakati wala nini huyo ndio katolewa rasmi kwenye ramani na swali dogo tu kati ya kuwa mwenezi wa chama Taifa na ubunge kipi ni cheo kikubwa? Bye bye Polepole
 
La
Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri
But mzee kaniprove wrong

Sasa je polepole kakosa nn mpk kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nan atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry muro?

Labda kuna kitu kakipinga huko ndani au kakataa kumwita Rais Mheshimiwa yeye kamwita ndugu.....
 
Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri
But mzee kaniprove wrong

Sasa je polepole kakosa nn mpk kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nan atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry muro??
huyo bado yupoyupo na vyeo vyake VYOTE
 
kwani Mwenezi kashateuliwa ??? huyo ananguvu kubwa sana
 
Mama Salma aliteuliwa kuwa Mbunge na Abdala Bulembo hali kadhalika pasi kupata uwaziri.

They all serve his pleasure.
 
Abdallah Bulembo aliteuliwa kuwa Meneja wa Kampen wa Mh.Rais 2015, baada ya Kampen aliteuliwa kuwa Mbunge na Rais… si lazima uwe Waziri

Huenda anaenda kuwa 'Antena' ya Mwenyekiti Bungeni kusaka wanaoandaa mikakati ya 2025, …maana kuna Waziri huenda katemwa kwa sababu hii
 
Polepole dishi limeyumba hata jiwe anajua
 
Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri
But mzee kaniprove wrong

Sasa je polepole kakosa nn mpk kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nan atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry muro??
Mleta mada,kwmba pole.pole hawezi kuwa MBUNGE na afisa uenezi ccm au unamaanisha nini unapouliza nafasi yake ataziba nani
 
Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri
But mzee kaniprove wrong

Sasa je polepole kakosa nn mpk kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge?
Je nan atachukua nafasi yake? Makonda/Manara/ Jerry muro??
Ndo kwanza mwanzo.Kwanza uwaziri utamnyima sauti kutetea kuondoa ukomo wa madaraka.Hili likiisha atakuwa tu waziri.
 
Mzee nampenda hanaga Mambo ya kujuana kwenye kazi. Tanzania bado Sana inahitaji Marais wa Namna hii kwa miaka zaidi ya 50 ijayo.

"Nitakuwa waziri mkuu ndani ya masaa72 Yajayo" Mbowe. Hizi kauli kwenye utawala wa Magufuli huwezi kusizikia Ukitaka kuthibisha Hilo kamuulize Dr Hamis Kigwangara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…