Polepole huenda anahitaji usaidizi wa matibabu kuliko kitu kingine chochote

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Kinachosababisha watu wampuuze Polepole kile anachokisema kuhusu siasa ni ile historia yake ya kuwa kiongozi muhimu wakati wa serikali ya Magufuli. Polepole angeweza kumshauri Magufuli aandike katiba mpya ya serikali 3 lakini hakufanya hivyo

Polepole angeweza kumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanyakazi zao za kikatiba lakini hakufanya hivyo.

Polepole angeweza kumshauri Magufuli awatafute wahuni waliompiga risasi Lissu lakini hakufanya hivyo.

Polepole angeweza kumshauri Magufuli asimchague Samia kuwa makamu wa Rais wake lakini hakufanya hivyo

Polepole alikuwepo wakati mifuko ya hifadhi inaporwa fedha zake na wastaafu kukosa fedha zao lakini alikaa kimya.

Polepole anafahamu kuwa wajumbe wa Mkutano MKuu wa CCM wana akili zao timamu pengine kuliko yeye lakini yeye anawaona wajumbe wote hawana akili na hawana wanachokijua kuhusu CCM kuliko yeye.

Polepole anajikasimisha jukumu zito sana la kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumu hilo amepewa na akina nani. Yaani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na tanzania kuliko watanzania wengine

Polepole alikaa kimya alipowasikia wahuni wakijitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ili kuongeza muda wa ukomo wa Rais madarakani. Hoja hii haikukutana na hasira kubwa na kali kutoka kwa yeyote, kuonyesha kuwa jambo la kubadilisha katiba kuongeza muda lilikuwa linazungumzika wakati muda ukifika. Walikuwa wanapima atmosphere ya huko nje tu

Polepole huyu alikaa kimya wakati Mzee Warioba anachapwa kibao.

Polepole ni kama vile anahitaji msaada ya matibabu kuliko kumshangaa na kumsakama. Hajui kama amekalia kuti kavu kama walilokalia wezake waliowahi kukalia makuti makavu kama Mzee Makamba, Kinana, Lowasa, Mzee Aboud Jumbe, Sharif, Kingunge, Kolimba, Sumaye, Msindai, Kambona, Membe, Mrema, John Malecela, Salmin, Ali Karume, Nape na wengine wengi wasio na idadi. Anataka kuangua dafu moja kwa kuutikisa mnazi mzima. Ana umri gani yeye wa kuifahamu CCM kiasi hicho?
 
Sasa Polepole apuuzwe tu kisa hakusema au kutenda ayasemayo sasa?

Vipi kama ayasemayo ni ukweli, tunataka watokee malaika wa mbinguni kutusemea?

Nionavyo, Polepole amethubutu kusema ukweli, wa Tanzania hatujazoea ukweli na hasa unapouma.

Simaanishi Polepole ni superman lakini amethubutu ukweli kuusema ambao ni dawa kwake na baadhi yetu na ni sumu kwa wanaoguswa vibaya.
 
Kwa sasa hivi mmefunguliwa au ndio mmefungwa kabisa kufanya chochote kutoka kwenye fikra zenu bila kwenda kuuliza kwa chui kwamba hili mliseme hadharani kwenye jukwaaa au lah.

HP alishajieleza vizuri tu kwamba alimshauri JPM kuandika katiba mpya ila alijibiwa kistaraabu sana kwamba mtu aliyekwamisha katiba hiyo kipindi kile bado yupo kwa hiyo hata akianzisha tena an uwezo wa kughilibu kupitia mtandao wa kihuni kuhujumu pia.

Kumdhihirishia kwamba ingewezekana katiba kupatikana na alikuwa anaunga mkono rasimu ya Warioba ndio maana uongozi wake ulijikita kile kilichokuwa kinaelekezwa kwenye rasimu ya katiba.
 
cha ajabu wewe haujampuuza, sasa sijui kati ya wewe na yeye nani anahitaji matibabu zaidi? swali gumu …
Wasije wakarusha bomu mortuary. Ndiyo hofu yangu tu. Wengi walichanganyikiwa baada ya Rais wetu JPM kufa ghafla. Akili haIzijarudi
 
Nakubaliana na wewe
Naomba umpeleke mama ako akamsaidie
Tukumbishane tu kuwa kila nafsi itaonja umauti, na ukifa hufi tena lakini hurudi tena. Tukubali kuwa JPM amekufa natural death na harudi tena.
 
Sasa Polepole apuuzwe tu kisa hakusema au kutenda ayasemayo sasa?

Vipi kama ayasemayo ni ukweli, tunataka watokee malaika wa mbinguni kutusemea?

Nionavyo, Polepole amethubutu kusema ukweli, wa Tanzania hatujazoea ukweli na hasa unapouma.

Simaanishi Polepole ni superman lakini amethubutu ukweli kuusema ambao ni dawa kwake na baadhi yetu na ni sumu kwa wanaoguswa vibaya.
Kusema kweli sio desturi na utamaduni wake. Wakati wa JPM saa yake ilikuwa mbovu kabisa hata mishale iliondolewa.
 
Sahihi kabisa, CCM ilimkuta na afya hii ya nywele kunyonyoka kwa ugonjwa wa juliana. Wanasemaga ugonjwa wa juliana una tabia ya kupanda kichwani.
Screenshot_20250813-181559.jpg
 
Kinachosababisha watu wampuuze Polepole kile anachokisema kuhusu siasa ni ile historia yake ya kuwa kiongozi muhimu wakati wa serikali ya Magufuli. Polepole angeweza kumshauri Magufuli aandike katiba mpya ya serikali 3 lakini hakufanya hivyo

Polepole angeweza kumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanyakazi zao za kikatiba lakini hakufanya hivyo.

Polepole angeweza kumshauri Magufuli awatafute wahuni waliompiga risasi Lissu lakini hakufanya hivyo.

Polepole angeweza kumshauri Magufuli asimchague Samia kuwa makamu wa Rais wake lakini hakufanya hivyo

Polepole alikuwepo wakati mifuko ya hifadhi inaporwa fedha zake na wastaafu kukosa fedha zao lakini alikaa kimya.

Polepole anafahamu kuwa wajumbe wa Mkutano MKuu wa CCM wana akili zao timamu pengine kuliko yeye lakini yeye anawaona wajumbe wote hawana akili na hawana wanachokijua kuhusu CCM kuliko yeye.

Polepole anajikasimisha jukumu zito sana la kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumu hilo amepewa na akina nani. Yaani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na tanzania kuliko watanzania wengine

Polepole alikaa kimya alipowasikia wahuni wakijitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ili kuongeza muda wa ukomo wa Rais madarakani. Hoja hii haikukutana na hasira kubwa na kali kutoka kwa yeyote, kuonyesha kuwa jambo la kubadilisha katiba kuongeza muda lilikuwa linazungumzika wakati muda ukifika. Walikuwa wanapima atmosphere ya huko nje tu

Polepole huyu alikaa kimya wakati Mzee Warioba anachapwa kibao.

Polepole ni kama vile anahitaji msaada ya matibabu kuliko kumshangaa na kumsakama. Hajui kama amekalia kuti kavu kama walilokalia wezake waliowahi kukalia makuti makavu kama Mzee Makamba, Kinana, Lowasa, Mzee Aboud Jumbe, Sharif, Kingunge, Kolimba, Sumaye, Msindai, Kambona, Membe, Mrema, John Malecela, Salmin, Ali Karume, Nape na wengine wengi wasio na idadi. Anataka kuangua dafu moja kwa kuutikisa mnazi mzima. Ana umri gani yeye wa kuifahamu CCM kiasi hicho?
Kwangu mimi polepole ni mjamaa na anachokitetea ni ccm isiame kwenye ujamaa moja kwa moja ingawa kiuadilifu ni kweli anachoongea natumia madhaifu yalimo kwenye ccm kwa miaka kuonyesha kuwa samia amefail...!binafsi ni kama anamuonea tu huyu mama wa watu.
 
Kinachosababisha watu wampuuze Polepole kile anachokisema kuhusu siasa ni ile historia yake ya kuwa kiongozi muhimu wakati wa serikali ya Magufuli. Polepole angeweza kumshauri Magufuli aandike katiba mpya ya serikali 3 lakini hakufanya hivyo

Polepole angeweza kumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanyakazi zao za kikatiba lakini hakufanya hivyo.

Polepole angeweza kumshauri Magufuli awatafute wahuni waliompiga risasi Lissu lakini hakufanya hivyo.

Polepole angeweza kumshauri Magufuli asimchague Samia kuwa makamu wa Rais wake lakini hakufanya hivyo

Polepole alikuwepo wakati mifuko ya hifadhi inaporwa fedha zake na wastaafu kukosa fedha zao lakini alikaa kimya.

Polepole anafahamu kuwa wajumbe wa Mkutano MKuu wa CCM wana akili zao timamu pengine kuliko yeye lakini yeye anawaona wajumbe wote hawana akili na hawana wanachokijua kuhusu CCM kuliko yeye.

Polepole anajikasimisha jukumu zito sana la kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumu hilo amepewa na akina nani. Yaani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na tanzania kuliko watanzania wengine

Polepole alikaa kimya alipowasikia wahuni wakijitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ili kuongeza muda wa ukomo wa Rais madarakani. Hoja hii haikukutana na hasira kubwa na kali kutoka kwa yeyote, kuonyesha kuwa jambo la kubadilisha katiba kuongeza muda lilikuwa linazungumzika wakati muda ukifika. Walikuwa wanapima atmosphere ya huko nje tu

Polepole huyu alikaa kimya wakati Mzee Warioba anachapwa kibao.

Polepole ni kama vile anahitaji msaada ya matibabu kuliko kumshangaa na kumsakama. Hajui kama amekalia kuti kavu kama walilokalia wezake waliowahi kukalia makuti makavu kama Mzee Makamba, Kinana, Lowasa, Mzee Aboud Jumbe, Sharif, Kingunge, Kolimba, Sumaye, Msindai, Kambona, Membe, Mrema, John Malecela, Salmin, Ali Karume, Nape na wengine wengi wasio na idadi. Anataka kuangua dafu moja kwa kuutikisa mnazi mzima. Ana umri gani yeye wa kuifahamu CCM kiasi hicho?

Wahuni na washirika wao Polepole kawashika pabaya:

View: https://m.youtube.com/watch?v=d_NAcuRcYZg

Si bure!
 
Yeye amethubutu kukosoa wewe umefanya nini?
 
kama wewe kwa post hii unahitaji maombi kuliko yeyote hapa JF
 
Wasije wakarusha bomu mortuary. Ndiyo hofu yangu tu. Wengi walichanganyikiwa baada ya Rais wetu JPM kufa ghafla. Akili haIzijarudi

mbona kama vifo vimeshazoeleka tangia cha a devoted Christian Mwalimu Nyerere mpaka juzi kati Ndugai, hivyo hakuna aliyechanganyikiwa, mtindo wa vifo unaonekana i guess …
 
Kinachosababisha watu wampuuze Polepole kile anachokisema kuhusu siasa ni ile historia yake ya kuwa kiongozi muhimu wakati wa serikali ya Magufuli. Polepole angeweza kumshauri Magufuli aandike katiba mpya ya serikali 3 lakini hakufanya hivyo

Polepole angeweza kumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanyakazi zao za kikatiba lakini hakufanya hivyo.

Polepole angeweza kumshauri Magufuli awatafute wahuni waliompiga risasi Lissu lakini hakufanya hivyo.

Polepole angeweza kumshauri Magufuli asimchague Samia kuwa makamu wa Rais wake lakini hakufanya hivyo

Polepole alikuwepo wakati mifuko ya hifadhi inaporwa fedha zake na wastaafu kukosa fedha zao lakini alikaa kimya.

Polepole anafahamu kuwa wajumbe wa Mkutano MKuu wa CCM wana akili zao timamu pengine kuliko yeye lakini yeye anawaona wajumbe wote hawana akili na hawana wanachokijua kuhusu CCM kuliko yeye.

Polepole anajikasimisha jukumu zito sana la kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumu hilo amepewa na akina nani. Yaani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na tanzania kuliko watanzania wengine

Polepole alikaa kimya alipowasikia wahuni wakijitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ili kuongeza muda wa ukomo wa Rais madarakani. Hoja hii haikukutana na hasira kubwa na kali kutoka kwa yeyote, kuonyesha kuwa jambo la kubadilisha katiba kuongeza muda lilikuwa linazungumzika wakati muda ukifika. Walikuwa wanapima atmosphere ya huko nje tu

Polepole huyu alikaa kimya wakati Mzee Warioba anachapwa kibao.

Polepole ni kama vile anahitaji msaada ya matibabu kuliko kumshangaa na kumsakama. Hajui kama amekalia kuti kavu kama walilokalia wezake waliowahi kukalia makuti makavu kama Mzee Makamba, Kinana, Lowasa, Mzee Aboud Jumbe, Sharif, Kingunge, Kolimba, Sumaye, Msindai, Kambona, Membe, Mrema, John Malecela, Salmin, Ali Karume, Nape na wengine wengi wasio na idadi. Anataka kuangua dafu moja kwa kuutikisa mnazi mzima. Ana umri gani yeye wa kuifahamu CCM kiasi hicho?
Ewaaah !
Umemaliza ✅👋
 
Kwa sasa hivi mmefunguliwa au ndio mmefungwa kabisa kufanya chochote kutoka kwenye fikra zenu bila kwenda kuuliza kwa chui kwamba hili mliseme hadharani kwenye jukwaaa au lah.

HP alishajieleza vizuri tu kwamba alimshauri JPM kuandika katiba mpya ila alijibiwa kistaraabu sana kwamba mtu aliyekwamisha katiba hiyo kipindi kile bado yupo kwa hiyo hata akianzisha tena an uwezo wa kughilibu kupitia mtandao wa kihuni kuhujumu pia.

Kumdhihirishia kwamba ingewezekana katiba kupatikana na alikuwa anaunga mkono rasimu ya Warioba ndio maana uongozi wake ulijikita kile kilichokuwa kinaelekezwa kwenye rasimu ya katiba.
Hiyo siyo kweli kabisaaa. JPM alisema kwenye kampeni hakuna pahala nimeahidi kuandika Katiba mpya, hivyo siibadili Katiba ng'o, Wacha niitumie hiihii kunyoosha nchi. Wakati JPM anayasema hayo hata Polepole alimsikia lakini alikaa kimya . Hakuna ushahidi kama polepole aliwahi kumshairi JPM chochote kwenye hilo.

Nani anhemkwamisha JPM kuandika Katiba mpya kama angetaka kuandika Katiba mpya.

Polepole amekosa uhalali wa kusema na kufanya haya anayosema na kufanya zaidi ya kuhitaji usaidizi wa matibabu ndani na nje ya nchi. Hakuna mtu mwenye utimamu wa akili ambae hampuuzi kwenye haya anayosema. Bado yuko kwenye denial kuwa JPM amekufa natural death. Na hii ni dalili kuwa Kuna aina ya watu hawastahili kupewa madaraka makubwa na Siri kubwa za nchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom